Recent content by Jkmakore

  1. Jkmakore

    Rais na mkutano na machifu!

    Hiyo sababu hait Hiyo sio sababu ya kufanya utamaduni wa kiafrica kuwa wa kishenzi, waza pia kuhusu tamaduni zao tata.
  2. Jkmakore

    Kwanini wanaume wengi tukifikisha miaka 50 na kuendelea tunatapeliwa kirahisi na wanawake

    Wanawake wengi hupunguza na hata kuacha kabisa kuwajali wanaume wao wakifika umri wa 50, Huwa wanajisikia sana na mapenzi yao huyahamishia kwa watoto, katika umri huo wanawake wengi huwa hawawasikilizi maume zao, hufanya kila wanalojisikia bila kujali chochote, kiburi na maneno machafu na...
  3. Jkmakore

    FT: Algeria 0-0 Tanzania | AFCON Qualifier | Tanzania yafuzu AFCON

    Sana mkuu sema wachezaji waliofanikisha hili wawaache hadi mwisho isitokee tena kikosi kikabadilishwa watawakatisha tamaa.
  4. Jkmakore

    FT: Algeria 0-0 Tanzania | AFCON Qualifier | Tanzania yafuzu AFCON

    Tuna kila sababu ya kufurahi leo bila kujali nini kitatokea mbele ya safari, watu wengi walielekea kuamini kuwa T stars haitavuka mbele ya Algeria. Uganda pia walidhani shughuli imeeisha licha ya kutuombea njaa sisi ndo tumefuzu.
  5. Jkmakore

    Kiwango cha ujinga cha viongozi wa CCM, mashabiki wao, na raia kwa ujumla, kinatisha!

    Tunasahau sana ata miaka mitatu bado haijapita. Katiba na sheria vyote vilikuwepo na mikutano ya hadhara haikufanyika, leo hata mwaka 1 bado hujakamilika watu mameshaanza kusahau. Utashi wa Rais tu pekee ndo unalea hayo maridhiano na si vinginevyo. Kubeza na kutumia lugha zisizofaa ni kusahau...
  6. Jkmakore

    Wewe ndio chanzo cha umasikini katika familia yenu

    Kama ni hivyo basi umasikin wa wazazi wengi upo kwenye maamzi yao wenyewe. Na je kama wangeamua wasiwe na watoto wangekuwa na hicho kiasi cha pesa kwa muda ulioutaja? Vipi wale watoto wanaohusika kwenye shughili za uzalishaji za familia zao bila malipo? Suala la umasikini halina sababu moja...
  7. Jkmakore

    Ni aibu kwa klabu kubwa Kama Simba Sc kupiga magoti na kuanza kubembeleza mchezaji

    Hakuna ubaya wowote timu kukaa na kuelewana na mchezaji, ni vyema pia timu kutambua mchango wa mchezaji na kuondoa tofauti. Viongozi weledi huchukua maamzi yasiyokuwa na gharama.
  8. Jkmakore

    Waafrica mara nyingi ndo wanaosababisha viongozi wao kuwa madictator bila kupenda kwao.

    Mkuu natamani utoe somo juu ya matumizi mazuri ya demokrasia Africa, kwan anona unatumia demokrasia kupinga demokrasia. Suala la matumizi ya lugha za matusi na kejeli kwa viongozi nakubaliana na wewe hili halikubaliki.
Back
Top Bottom