Recent content by Jkl

  1. Jkl

    JamiiForums Tanzania Kusikiliza simu ya kazi

    Nilikuta missed call ,kupiga simu haitoki , nilisikitika sana , naendelea na uafisa usafirishaji sasa
  2. Jkl

    JamiiForums Tanzania UTOFAUTI KATI YA MASTER BEDROOM NA SELF BEDROOM

    Rudia kusoma
  3. Jkl

    JamiiForums Tanzania Hatimae nimefika Kijiji cha mpale korogwe tanga.

    Hahahah, siwez jaribu
  4. Jkl

    JamiiForums Tanzania Hatimae nimefika Kijiji cha mpale korogwe tanga.

    Sijaona mkuu , kwanza naogopa kulogwa
  5. Jkl

    JamiiForums Tanzania Hatimae nimefika Kijiji cha mpale korogwe tanga.

    Usijali, ngoja nikae na wenyeji
  6. Jkl

    JamiiForums Tanzania Hatimae nimefika Kijiji cha mpale korogwe tanga.

    Kijiji kipo juu milimani , miundombinu mibovu hasa barabara hamna maji ya bomba , ni kwenda mtoni , network ni YAS tu, Shughuli za kilimo cha chai ndo kipo huku ila kiwanda kimefungwa . Serikali ifanye uwekazaji huku hasa barabara. Nimetumia 20k kutoka korogwe mji hadi huku. Bora ningebaki...
  7. Jkl

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Mbolea katika kilimo cha karanga

    Vp mwanzo ulivuna kiasi gani , kwa nusu heka ?
  8. Jkl

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Mbolea katika kilimo cha karanga

    Check attached files
  9. Jkl

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Mbolea katika kilimo cha karanga

  10. Jkl

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Mbolea katika kilimo cha karanga

    K Upungufu wa calcium phosphate huo , wanashauri utumia gypsum
  11. Jkl

    JamiiForums Tanzania Kati ya course ya political science na ile ya international relations zina ajira za uhakika?

    Uhakika political science, utakuja tengeneza pesa ya kutosha
  12. Jkl

    JamiiForums Tanzania Kesho naingia kwenye oral interview lakini hili limenitokea

    Hawezezi kukuruhusu , try again next time.
  13. Jkl

    JamiiForums Tanzania Ukulima wa kahawa kwa maendeleo ya wakulima na pato la taifa (dhahabu shambani)

    Kumbe kahawa bado inalipa,, mkoa wa Kilimanjaro chama kimekufa unapeka kahawa unaambiwa subir mpaka wakauze ndo uje ulipwe
  14. Jkl

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa zaidi kuhusu Hamlashauri ya Wilaya ya Korogwe

    Wapi kuna afadhali kwenye hiyo wilaya ?
Back
Top Bottom