Recent content by Jkitamoga

  1. Jkitamoga

    JamiiForums Tanzania Mtamba wa kisasa anaweza kupandwa akiwa na umri gani?

    Hakupandwa
  2. Jkitamoga

    JamiiForums Tanzania Mtamba wa kisasa anaweza kupandwa akiwa na umri gani?

    Kwa wataalam naomba msaada nina Mtamba wangu Ana umri wa miezi 13 aliingia heat mara ya kwanza mwezi machi . Upi ni umri sahihi wa kumpandisha?
  3. Jkitamoga

    JamiiForums Tanzania Je, kuna walimu waliopata mafunzo ya mtaala mpya kidato Cha Tano na Sita?

    Napenda kufahamishwa kama Kuna mkoa au wilaya wamepewa mafunzo ya mtaala mpya kwa kidato Cha Tano na SITA.
  4. Jkitamoga

    JamiiForums Tanzania Zifahamu Mashine mbalimbali ambazo zinaweza kukusaidia kukuza miradi midogo hapa Tanzania

    Mahitaji motor ya kuvuta maji Toka kwenye kisima .
  5. Jkitamoga

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Tie Literature in English

    Vipo for online use only nahitaji aliyedownload maana sahizi havidownlodiki.
  6. Jkitamoga

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Tie Literature in English

    Mwenye soft copy ya kitabu cha Tie literature in English naomba.
  7. Jkitamoga

    JamiiForums Tanzania Experts wa photocopy mashine

    Nahitaji msaada wenu. Canon 2425 yenye error code 0000733000 nahitaji kuitengeneza. Kama wew ni fundi tuwasiliane
  8. Jkitamoga

    JamiiForums Tanzania Mwenye dc controller ya canon 2425 tuwasiliane

    P. Mashine yangu imeeandika error 000733000 na NImeambiwa kuwa Dc controller imeungua hivyo wenye spare hiyo au duka linalouza tuwasiliane. Maexpert wote karibuni kwa ushauri.
  9. Jkitamoga

    JamiiForums Tanzania Anayeweza kutatua error code 000733-0000 Canon 2425

    NImeambiwa DC CONTROLLER Imeharibika na hazipatikani kwa urahisi
  10. Jkitamoga

    JamiiForums Tanzania Anayeweza kutatua error code 000733-0000 Canon 2425

    Photocopy mashine Canon 2425
  11. Jkitamoga

    JamiiForums Tanzania Anayeweza kutatua error code 000733-0000 Canon 2425

    Nisaidieni jamani
  12. Jkitamoga

    JamiiForums Tanzania Anayeweza kutatua error code 000733-0000 Canon 2425

    Tatizo ndo hilo
  13. Jkitamoga

    JamiiForums Tanzania Error code 000733-000 Canon 2425 msaada

    Asante nalifanyia kazi
  14. Jkitamoga

    JamiiForums Tanzania Anayeweza kutatua error code 000733-0000 Canon 2425

    Kwa anayejua naomba msaada.
Back
Top Bottom