Recent content by jjimmy.jjose

  1. J

    JamiiForums Tanzania Dk. Magufuli azindua barabara ya Isongole - Itumba mkoani Mbeya

    Dk.Magufuli yupo mkoani Mbeya na leo amefanya uzinduzi wa barabara iliyojengwa kwa kiwango cha lami ya Isongole kwenda Itumba na kuahidi kuanza ujenzi kwa kiwango cha lami barabara ya Mpemba kwenda Isongole inayounganisha nchi ya Tanzania na Malawi. Dk.Magufuli na Mkuu wa Wilaya ya Ileje...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa Magufuli waanikwa wazi wazi

    nilidhani upo ok tumsaidie huyu kujua asichojua kumbe hata wewe mwenyewe famba tu!
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa Magufuli waanikwa wazi wazi

    Bure kabisa: Hebu katafute hiyo manual uisome vizuri na angalia "Table 4-4: Design Speed for Various Road Design Classes" Utakuta mpaka carriageway ya 4.0. World Bank siyo wajinga kiasi hicho huwa wana close monitoring ya miradi yao yote - achana na kudanganya watu hovyo hovyo unaniboa sana...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa Magufuli waanikwa wazi wazi

    nakuhurumia kwa kutojua mambo nakuomba sana tafuta geometry design manual ya barabara za Mikoa na barabara Kuu ya mwaka 2012 utapata majibu na kukutoa ujinga ulio nao sasa - pole sana. Maana naona unatoa mapovu bila sababu!
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa Magufuli waanikwa wazi wazi

    Hapa Magufuli kafisadi wapi ? Tatizo una chuki binafsi na ukiangalia background yako ni kumuattack huyu Waziri hasa road reserve na unaokota taarifa mtandaoni zenye chembe hasi na Magufuli ndo kwako zinakuwa biashara. Lakini ngoja nikujibu Mkuu na upotoshaji wako - kilichofanyika ni lane...
  6. J

    JamiiForums Tanzania TBC1 & TBC2 Kurusha live mashindano ya fainali za kombe la dunia

    Mkuu nimekubari kinachotokea sasa hivi ni vivyo hivyo ulivyosema - TBC shame on you!
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mkandarasi achota 3bn advance akimbia! Alipewa kujenga km 26 za lami wakati hana ujuzi wowote...

    Wewe ndo umechanganyikiwa , usinilazimishe kutohoji angalia hapo Juu wenzio walivyonijibu - tumia hata hiyo akili kidogo uliyojaliwa!
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mkandarasi achota 3bn advance akimbia! Alipewa kujenga km 26 za lami wakati hana ujuzi wowote...

    Je kuna Sheria inaelekeza lazima kampuni iwe na website? Tafadhali naomba jibu!
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mkandarasi achota 3bn advance akimbia! Alipewa kujenga km 26 za lami wakati hana ujuzi wowote...

    Je kuna Sheria inaelekeza kampuni lazima iwe na website? Tafadhali naomba jibu!
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mkandarasi achota 3bn advance akimbia! Alipewa kujenga km 26 za lami wakati hana ujuzi wowote...

    Naomba samahani mwanzoni niliandika hovyo na kukimbia sehemu but meseji yangu ni hii: Hapa bado nina wasiwasi na wewe pia, mleta mada alisema due delligence ilifanyika Ghana na Msumbiji baadae katokea mtu kasema ilifanyika South Sudan na Malawi ambapo tena mleta mada kasupport sasa tumwamini...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mkandarasi achota 3bn advance akimbia! Alipewa kujenga km 26 za lami wakati hana ujuzi wowote...

    Wapo wengi mfano Magreth Sitta (Elimu), mhandisi Kawambwa(Ujenz), Mulugo(Elimu), Migiro(Sheria) n.k
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mkandarasi achota 3bn advance akimbia! Alipewa kujenga km 26 za lami wakati hana ujuzi wowote...

    Soma vizuri thread kasema ni mhusika na alikua anafuatilia malipo yake????
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mkandarasi achota 3bn advance akimbia! Alipewa kujenga km 26 za lami wakati hana ujuzi wowote...

    Mbona sikuelewi au mimi najichanganya - jamaa si kasema alikua anafanya kazi na strada? Au ni technical attack mkuu!
Back
Top Bottom