Recent content by jjackline

  1. J

    JamiiForums Tanzania Raia aliyeanza kuomba kabla ya uhuru

    Unaweza kumwita kwa majina utakayo: rais wa ombaomba, nguli wa kuomba, mtoto wa mjini na mengineye. Hata hivyo, unaweza kumwita mwamba aliyefikia hatua yakutunishiana misuli na mamlaka unamkumbuka ombaomba huyu maarufu nchini? Alijulikana kwa jina moja la Matonya. Jina lake likawa kiwakilishi...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Telecome nchini Namibia imeshambuliwa na wadukuzi

    Kampuni ya simu ya Telecom inayomilikiwa na serikali ya Namibia imeshambuliwa na wadukuzi na kusababisha uvujaji wa taarifa nyeti za wateja. Vyombo vya habari vya ndani vimeripoti kuwa wadukuzi waliiba karibu taarifa 500,000 ikiwa ni pamoja na taarifa binafsi na za kifedha za wizara, maafisa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wananchi washindwa kupiga kura baada ya kutoona majina yao kwenye ubao ya wenye majina ya waliojiandikisha

    Siku ya jana jumatano ya tarehe 27/11/2024 ambapo kulikuwa na zoezi la uchaguzi mdogo Tanzania nzima wapiga kura wamelalamika kwamba waliteseka kutafuta majina yao ili wakapige kura pia wamesema kuna baadhi ya majina hayakuwepo hivyo imepelekea watu wengine kushindwa kupiga kura Serikali...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Watu nane wafariki dunia baada ya mabasi kugongana Jijini Mwanza Oktoba 22, 2024

    Watu kadhaa wanahofiwa kufariki dunia katika ajali ya gari baada ya basi la kampuni ya Nyehunge kugongana uso kwa uso na basi la kampuni ya Asante Rabi. Ajali hiyo imetokea leo Oct 22, 2024 majira ya alfajiri katika eneo la Ukiliguru, wilayani Misungwi mkoani Mwanza. === Watu wanane wamefariki...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mfumo mpya wa iphone utazuia wezi wa simu kuuza vioo, betri na kamera za iphone

    Mwaka huu Apple imebadilisha utaratibu wake wa kurekebisha simu na vifaa vya kutumia simu. Wiki hii katika mfumo mpya wa iOS 18 wakaguzi na mafundi wa simu wamegundua Apple imeweka mfumo mpya wa kuzuia wezi kuuza display, betri na kamera za simu ambazo zimeibiwa. Mfumo mpya wa iOS 18 umeweka...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Rais wa Senegal avunja Bunge kwa madai ya Kuvutana na Mhimili wa Serikali

    Rais wa Senegal, Bassirou Faye amevunja bunge la nchi hiyo linaloongozwa na upinzani akifungua njia kwa uchaguzi wa haraka wa wabunge kufanyika ikiwa ni miezi sita baada ya kuchaguliwa kwake. Ametaja sababu kubwa ya uamuzi huo ni bunge hilo kuvutana na serikali yake, jambo linalokwamisha...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Dkt Nchimbi: CCM imekasirishwa sana na mauwaji ya Ali Kibao na serikali iharakishe haraka uchunguzi na matukio yakomeshwe

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk. Nchimbi ameeleza kuwa CCM inaunga mkono kauli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa uchunguzi ufanyike ili kubaini wahusika. Ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na Wandishi wa habari leo Septemba 13, 2024 katika...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Dkt Nchimbi: CCM imekasirishwa sana na mauwaji ya Ali Kibao na serikali iharakishe haraka uchunguzi na matukio yakomeshwe

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema chama hicho hakiwezi kuvumilia matukio ya utekaji na uvunjifu wa amani na hakitakubali. Mbali na hilo, Dk Nchimbi ametaka vyama vya upinzani ikiwemo Chadema kuungana pamoja kukemea, kukataa kufarakanishwa juu ya matukio ya...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Usugu wa dawa za VVU waibua changamoto mpya za matibabu

    Asilimia 5.8 ya watu wanaoishi na virusi vya Ukimwi (waviu) na wanaotumia dawa, wanakabiliwa na tatizo la usugu wa vimelea dhidi ya dawa za kupunguza makali ya virusi hivyo, utafiti mpya umeonyesha. Usugu wa dawa dhidi ya vimelea vya magonjwa ni changamoto kubwa inayoikabili dunia kwa sasa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya mastaa yanga watua Ethiopia kukipiga na CBE

    Kikosi cha Yanga kwa kundi la pili limepaa leo alifajiri kuifuata CBE SA ya Ethiopia kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza wa raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Wachezaji walioondoka leo ni wale ambao walikuwa hawana majukumu kwenye timu zao za taifa, wakati mastaa kama Djigui Diarra...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Hali ilivyo kituo cha Polisi Lulembela kilichovamiwa na wananchi

    Picha za hali ya kituo cha Polisi Lulembela wilayani Mbogwe mkoani Geita baada ya jana Jumatano Septemba 11, 2024 kuvamiwa na wananchi huku wakifanya uharibifu wa baadhi ya mali ikiwamo gari. Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime katika taarifa yake jana Jumatano kuhusu tukio hilo, alisema...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wahofia kukamatwa na Polisi walipouawa wananchi wawili Geita

    Hali ilivyo eneo la Lulembela wilayani Mbogwe mkoani Geita asubuhi ya leo Alhamisi Septemba 12, 2024 ambapo hadi sasa wafanyabiashara hawajafungua maduka yao wakidai kuhofia kukamatwa na polisi. Mzizi wa hofu hiyo ni vurugu zilitokea jana baina ya wananchi na polisi na kusababisha watu wawili...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Shangwe laibuka mazishi ya bibi mwenye miaka 132 Moshi

    Bibi mmoja aliyefahamika kwa jina la Anna amefariki dunia Septemba 3, 2024 akiwa na miaka 132 ambapo mamia ya watu wamekusanyika kumuaga katika Kijiji cha Huruma eneo la Uru Kaskazini – Moshi mkoani Kilimanjaro. Bibi Anna ameweka rekodi ya kuishi umri mrefu zaidi katika kijiji hicho na vijiji...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Sheikh Sharifu niliwafungisha ndoa jini na binadamu na wanaishi pamoja

    Katika mahojiano maalumu na Manara TV Sultan Sheikh Sharifu alifunguka kuhusu matukio ya kushangaza Moja ya vitu alivyoweka wazi ni kwamba alishawahi kuwafungisha ndoa Jini na Binadamu na hadi leo wanaishi pamoja.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mdahalo wa urais Marekani Trump, kamala wanyukana wakishutumiana

    Usiku wa kuamkia leo Jumatano Septemba 11, 2024 wagombea urais wa Marekani, Donald Trump (Republican) na Kamala Harris (Democratic) wamefanya mdahalo wa kutoa hoja zao mbele ya wananchi huku wakinyukana kwa hoja. Mdahalo huo ulioandaliwa na kituo cha luninga cha ABC, mbali na hoja za wagombea...
Back
Top Bottom