mkuu kwanza pole kuuguliwa na mama yetu!!
Pili kwani hofu yako ninini? maana mwenyewe unasema madaktari ndio wameshauri hivyo' sasa huna imani na ushauri wa kitabibu uliotolewa na matabibu utakuwa na imani na ushauli na watu kama mimi ambao wengine hiyo sio field yetu?
pili kama ulikuwa...
Kipindi tulichopo sasa ni kipindi ambacho kampeni zinaendelea kwa ajili ya uchaguzi mdogo. sasa kuna mengi yanayojiri kwenye hizi kampeni'' huku mtaani kwetu mambo niliyoyashudia ni;
1: Kuvunjwa kwa kioo kwa gari ya matangazo ya CCM' ilipigwa na jiwe.
2: Kuzomewa kwa wogembea wa CCM pamoja na...
Nauliza jamani Bunge limesimamishwa au linaendelea?
kama linaendelea ni vituo gani vya redio au tv vinarusha matangazo moja kwa moja?
Au ujio wa JK na mapokezi yake ndo imekuwa kikwazo cha kurusha matangazo ya bungeni maana redio one na Tbc nilikuwa namskia JK anaongea?
Niliambiwa waliuliwa watu wawili' katika maelezo yako kama sijakuelewa vibaya inaonyesha kauwawa mtu mmoja nisahihishe hapo ndugu. Asante kwakutujuza zaidi.
Usikimbie na mambo' tulia fuatilia mambo ndo uandike kitu hapa. Unabisha wakati mimi niliongea na nesi ambaye alikwepo night shift hospital ya Tumbi na alithibitisha kwamba wamepokea mwili na majeruhi wa hilo tukio.
Naambiwa kuna askari alikuwa maeneo yakaribu baada yakuona majambazi yana mashine za hatari eti kavua gwanda la juu kakimbia
kifua wazi kuogopa asijulikane na hao jamaa.
Mliopo kibaha tujuzeni. Naambiwa kibaha mail moja imetekwa kwa mda wa dakika tano. Majambazi wamevamia supermarket wamefanya yao na wameua watu wawili ambao walileta ubishi kuwapa pesa. Mliopo huko tujuzeni yaliyojiri zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.