Kuna ndug yangu alimaliza kidato cha 4 2015 akapata div 4 ya points 26; Phys F, Math F, Bios D, Hist D, Kisw C, Civics C, Geo D, English D na Chem D.
Plan zake ilikuwa akitaka kusoma PCB au CBG, akareseat Geo, Phys na Bios ila alichanganya hayo masomo kwamba combi haiwez kubalance. Je...