Msaada kwa wazoefu wa kurisiti

Msaada kwa wazoefu wa kurisiti

JJ wa J

Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
5
Reaction score
0
Kuna ndug yangu alimaliza kidato cha 4 2015 akapata div 4 ya points 26; Phys F, Math F, Bios D, Hist D, Kisw C, Civics C, Geo D, English D na Chem D.

Plan zake ilikuwa akitaka kusoma PCB au CBG, akareseat Geo, Phys na Bios ila alichanganya hayo masomo kwamba combi haiwez kubalance. Je akifaulu hayo masomo matatu aliyoreseat au hata pungufu ya hayo anaweza kwenda kusoma hzo combi hata kama private candidate advance?
 
Back
Top Bottom