Recent content by JJ Daddy

  1. JJ Daddy

    Ushauri kuhusiana na Magodoro yanayobonyea

    Aisee na mm hili langu limekaa kama mtumbwi limebonyea katikati[emoji1787][emoji1787] Nilinunua Tuf foam inch 10
  2. JJ Daddy

    KERO Mfumo wa kufuatilia deni kwa tuliokopa Bodi ya Mikopo (HESLB) una changamoto, haufunguki

    Kama umemaliza kulipa deni ukienda ofisini kwao mbona wanatoa barua inayothibitisha kuwa umemaliza kulipia. Mm nimeenda ofisi ya hesb mwanza mwezi Dec mwaka jana na nilitumia siku moja tu kuipata hio barua Na kwa Sasa sikatwi hata senti
  3. JJ Daddy

    Michepuko ya Demu wangu inanipa stress nifanyeje?

    Unalea changudoa dogo, hapo huna chako
  4. JJ Daddy

    Mume wangu kanitukania Mama yangu, naombeni ushauri jamani

    Huwezi ishi kwa dada yako milele kumbuka hapo umepewa hifadhi kwa mda tu. Ni vyema ukarudi kwa mumeo, kubali kuwa mjinga ili maisha yaendelee
Back
Top Bottom