Recent content by Jiwedogo

  1. Jiwedogo

    Wasifu Samwel Kiboye M/kiti wa CCM mkoa wa Mara

    Hiyo misaiati ndio ilio mfanya hayati Mchonga kuwananga wakoloni....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
  2. Jiwedogo

    Wasifu Samwel Kiboye M/kiti wa CCM mkoa wa Mara

    Nakumbuka September 2017, nilicho fanyiwa na Onyangotoyo pale mochwari Sgirati Hospital........ Hawa jamaa sina ham nao kabisa, hasa kale kazee kafupi rateng' kenye mvi kwambali....... Gademmit kabisa.....[emoji16] [emoji16]
  3. Jiwedogo

    Wasifu Samwel Kiboye M/kiti wa CCM mkoa wa Mara

    Nakumbuka hata marehemu Owino Misyani, alitokea Shirati Tz na akaenda fanya muziki huko Nyayo
  4. Jiwedogo

    Huyu mwanaume ameniambia ataniua, nashindwa kujua amedhamiria nini kwangu

    Nililazimika kurudi na nisome nyuzi zako zote kwa utulivu kabisa, na niliyo..... HAYA NI KWAKO WEWE MKE 1. Wewe ni mwanamke mjuaji sana na unajua kilakitu 2. Wewe ni mkorofi hata unataka umpande mumeo kichwani 3. Unaongea sanaaa....... hadi unamkera mume wako. 4. Unafanya ushindani na mume wako...
  5. Jiwedogo

    Maisha ya ndoa ukiyapatia wala uwezi kujutia kuoa

    Yule X wako aliemtuma rafiki yake akutongoze na kisha uvumilivu ukamshinda....[emoji12] [emoji12] [emoji12] . [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
  6. Jiwedogo

    Maisha ya ndoa ukiyapatia wala uwezi kujutia kuoa

    Ulicho mfanyia yule jamaa humu jf.....[emoji12] [emoji12] Yaani Mungu anakuona haki....[emoji13] [emoji13]
  7. Jiwedogo

    Maisha ya ndoa ukiyapatia wala uwezi kujutia kuoa

    Bado unaishi kwenye nyumba ya mama yako? Na ule mkebe unaokupa kibri hapo town, ulisha urudisha kwa mama yako?
  8. Jiwedogo

    Maisha ya ndoa ukiyapatia wala uwezi kujutia kuoa

    Ban imekwisha ehhhh.....[emoji12] [emoji12]
  9. Jiwedogo

    Maisha ya ndoa ukiyapatia wala uwezi kujutia kuoa

    Nayeye alikua kama wewe, na mwisho hayo ndio yalio mkuta
  10. Jiwedogo

    Wanaume wa Jf walivyo!...

    Sasa siafadhali ungeniambia pale tulipo kutana kwamba nina sura nzito......[emoji25] [emoji25] kuliko kuja kuniandika humu jf....[emoji19] [emoji19]
  11. Jiwedogo

    Asili ya Mkoa Wa Shinyanga

    Sawa
  12. Jiwedogo

    Kaniambia huwa anaenda kunyoosha mbavu

    Mungu anakuona wallah....[emoji19] [emoji19]
  13. Jiwedogo

    Kaniambia huwa anaenda kunyoosha mbavu

    Kwahiyo ndio umeamua kuja kuniandika huku eehhhh.....[emoji45] [emoji45] [emoji45] Afadhali ungeniambia na tukayaongea yaishe, kuliko hivi ulivyo nifanyia....[emoji19] [emoji19]
  14. Jiwedogo

    Je wewe kwa sasa uko wapi

    Usije mkuu, hapa nisha fika home, nimepaki mkebe na tayari nimesha lala
Back
Top Bottom