Recent content by Jiwe Linaloishi

  1. Jiwe Linaloishi

    JamiiForums Tanzania Hukumu dhidi yangu: Shukrani kwa watanzania – Maxence Melo

    Pole Sana kaka, tuko pamoja tuendelee kupambana tulikotoka ni mbali Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Jiwe Linaloishi

    JamiiForums Tanzania Mwijage: Dangote ana matatizo ya mkataba, hatujampa gesi na hatuwezi kumpa mpaka mkataba wake uwe sawa

    Kwa bahati tu viwanda viwili kwa pamoja vinafanya maintanance kwa wakati mmoja? acheni kutufanyamajuha
  3. Jiwe Linaloishi

    JamiiForums Tanzania Kuna Lawama kwa Rais, Kuna Lawama Rahisi, na Lawama Halisi

    Source kubwa ni wao kumnunua mtulia na uchaguzi kurudiwa upya, pili kauli kama za akina mnyeti nazo zinachangia kwasabu hazikemewi na mkuu wa nchi
  4. Jiwe Linaloishi

    JamiiForums Tanzania DAR: Mbowe, Mnyika na viongozi wengine wa CHADEMA waachiwa

    Mi nnachojua kama wasingemnunua mtulia na kumrudisha kugombea tena, uchaguzi wa marudio usingekuwepo kwahiyo haya yote yametokea kwa ajili ya upumbavu wao, na viapo vya mawakala vingetoka mapema mengi yangeepukika lakini ujinga wa mkurugenzi kuchelewesha viapo kwa makusudi hawalioni
  5. Jiwe Linaloishi

    JamiiForums Tanzania Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

    mkuu ungetupa hiyo tovuti chemba
  6. Jiwe Linaloishi

    JamiiForums Tanzania Historia Yenye Ukakasi Kuhusu Uanzishwaji wa Taifa la Israel

    Haina sheeda mkuu uzima ndio kitu cha muhimu
  7. Jiwe Linaloishi

    JamiiForums Tanzania Historia Yenye Ukakasi Kuhusu Uanzishwaji wa Taifa la Israel

    mkuu kwemaa? ukiziandaa usiache kunitag kaka
  8. Jiwe Linaloishi

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo barabara kuu hatarishi Tanzania

    kweli mkuu lile daraja la wami aibu sana, kushindwa kuweka daraja la uhakika la kupishana magari mawili, lori likizimikia pale katikati ndio basi tena kaskazin inageuka katalunya
  9. Jiwe Linaloishi

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro atuma askari kutoka Makao Makuu kupambana na askari wa FFU waliokuwa wanapiga raia ovyo

    ina maan hao ffu wamekaidi amri ya mkuu wao mpaka watumwe askari kutoka makao makuu?? kuna tatizo mahali
  10. Jiwe Linaloishi

    JamiiForums Tanzania Mashirika ya kijasusi na jinsi yanavyofanya kazi

    TISS na kuna jingine la pili sijui kama lipo rasmi
  11. Jiwe Linaloishi

    JamiiForums Tanzania Bulaya: Nipo katika hatari kubwa, nimefuatiliwa na watu waliovalia kininja nyumbani

    angekuwa haliamini asingeenda kuripoti, kutoa kwenye vyombo vya habari pia muhimu ili uma ukae ukijua kinachoendelea
  12. Jiwe Linaloishi

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu mzima kiganjani mwa CIA

    hongera sana karibu glass ya wine unipe story nyingine, next time usiache kunitag ukishusha mambo kama haya
  13. Jiwe Linaloishi

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu mzima kiganjani mwa CIA

    mkuu kwema? kama unayo fanya mpango basi mi mnazi kweli wa hizi habar
  14. Jiwe Linaloishi

    JamiiForums Tanzania Huu mradi wa bomba ni siasa au ni Mimi sioni fursa??

    Hata mimi najiuliza swali hilohilo kaka, maana kama ni fursa nyingi hivyo mbona bomba la TAZAMA linalotoka bandarini mpaka zambia halina hizo fursa
  15. Jiwe Linaloishi

    JamiiForums Tanzania Wanyama watano wanaopewa heshima jeshini

    mkuuu umenichekesha sanaaaa wajeda wakikukatama halali yao
Back
Top Bottom