Recent content by Jiwe la kudumu

  1. Jiwe la kudumu

    Rais Museveni: Sitaongeza mishahara kwa walimu wa masomo ya sanaa

    Huyu jamaa nchi anaifanya kama mali ya baba yake anachofikiria kwenye utosi wake ndicho kinakuwa uamuzi kwa waganda wote. Ee Mwenyeezi Mungu waondolee ndugu zetu jinamizi hilo
  2. Jiwe la kudumu

    Utetezi wa Sabaya: Amwangushia zigo Hayati Magufuli na kudai Gavana Luoga na Makamu wa Rais Dkt. Mpango walifahamu

    Mpaka hapo Lengai amekiri kuwa alivamia dukani kwa watu nje ya eneo lake la utawala, kuhusu utetezi wake kuwa katumwa na mamlaka ya uteuzi ni wajibu hao waliotajwa kukanusha au kukiri ili nao wajifunue hadharani
  3. Jiwe la kudumu

    TANZIA Patrick Mfugale wa TANROADS afariki dunia Jijini Dodoma

    Alianza Eng wa Songoro marine amefuata Eng Mfugale! Watu wa miradi mikubwa wa Jiwe wanaondoka kwa staili moja!
  4. Jiwe la kudumu

    Mbunge Chaurembo ataka kupitiwa upya uamuzi wa Jiji la Dar kuvunjwa bila vikao vya madiwani

    Nila katiba ya wananchi siku zote haya mambo yatajirudia tu
  5. Jiwe la kudumu

    TANZIA Prof. Mwesiga Baregu afariki dunia

    Pro Mwesiga Baregu ni miongoni wa waasisi wa mfumo wa vyama vingi Tanzania. Mwenyeezi Mungu muweke anapostahili
  6. Jiwe la kudumu

    Temitope Balogun Joshua, (TB Joshua) afariki Dunia

    Mwenyeezi Mungu atamuweka anapostahili
  7. Jiwe la kudumu

    UTEUZI: Camilius Wambura ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI)

    Huyu Wambura ndanu ya mwezi mmoja kapanda vyeo mara nne, katoka Dodoma kaenda Dar kuchukuwa nafasi ya mambosasa mara paap kawa DCI ndani ya wiki mbili duh, Zali zalini
  8. Jiwe la kudumu

    Mali: Wanajeshi Wanamshikilia Rais, Waziri Mkuu na Waziri wa Ulinzi wa Nchi hiyo

    Safi sana msisubiri mpaka mambo yakaharibika kabisa mkiona ishara mbaya mnachukuwa hatua mapema
  9. Jiwe la kudumu

    Afrika Kusini yapendekeza Sheria kwa Mwanamke kuwa na Mume zaidi ya mmoja

    Nawasubiri waipitishe ili wathibitishe kwa vitendo kuwa Mwenyeezi Mungu ametutangulia mbali kwa akili na maarifa kwa hizo fujo na mauwaji yatakayosababishwa na aina ya mfumo wa ndoa wanayopendekeza
  10. Jiwe la kudumu

    Simbachawene: Kupata kitambulisho cha NIDA siyo mwarobaini wa kutokuulizwa uraia wako

    Mbona Mussa Assad alishawaongolea watu sampuli hii siku nyingi kuwa vilaza wapo wengi🤣🤣
  11. Jiwe la kudumu

    Baada ya maka 62 Cuba, haitakuwa na Kiongozi anayeitwa Castro baada ya Raúl kutangaza kujiuzulu Ukatibu Mkuu wa Chama

    Siku zote ukitunishiana misuli na mabeberu jua utaumiza wananchi wako tu
  12. Jiwe la kudumu

    Mambo ya kuzingatia Unaponunua gesi ya kupikia

    Tujuze ili tufahamu uzito wa mtungi bila gesi tutaufahamu vipi uli kujumlisha na kiwango sahihi cha gesi kilichopo kwenye mtungi?
Back
Top Bottom