Recent content by Jiwe kuu001

  1. Jiwe kuu001

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Mwenye ako na Galaxy S10+ na yuko tayari kufanya exchange (Topup) na Galaxy S8+ anichek 0674781184
  2. Jiwe kuu001

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    mwenye ako na Galaxy S10+ na yuko tayari kufanya exchange (topup) na Galaxy S8+ anichek 0674781184
  3. Jiwe kuu001

    JamiiForums Tanzania Daladala za kupanda kufika Ocean Road cancer institute

    Nipande daladala za kivukon then nishuke posta azikiwa c ndiyo hvyo mkuu
  4. Jiwe kuu001

    JamiiForums Tanzania Daladala za kupanda kufika Ocean Road cancer institute

    Shukran mkuu
  5. Jiwe kuu001

    JamiiForums Tanzania Daladala za kupanda kufika Ocean Road cancer institute

    WanaJF naomba maelezo ya daladala za kupanda kufika ocean Road cancer Hospital Dar es salaam nipo Gongo la Mboto
  6. Jiwe kuu001

    JamiiForums Tanzania Nimechanganyikiwa nisaidieni

    Hivi zile allocation zilizopo kwenye account ni za miaka mitatu yote na haziwez badilika ama?
  7. Jiwe kuu001

    JamiiForums Tanzania Nimechanganyikiwa nisaidieni

    Huyu dogo anazingua sana watu tunasoma Ada 4.6M na tulipata Boom2 Acha ubishoo dgo
  8. Jiwe kuu001

    JamiiForums Tanzania Nimechanganyikiwa nisaidieni

    Ulisoma Gvmnt au private since umeanza Shule
  9. Jiwe kuu001

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa tatizo hili la PC

    Chief-Mkwawa
  10. Jiwe kuu001

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa tatizo hili la PC

    Mkuu Nime trouble shoot kwa safe mode imenileta hapo
  11. Jiwe kuu001

    JamiiForums Tanzania Ni hospital gani ambayo inatoa huduma ya kufunga bracelets kwa kutumia Bima ya Afya

    Ni matumain yangu mu wazima wa Afya, Niende kwenye mada moja kwa moja. Naomba kufaham kwa yeyote mwenye Ufahamu wa jambo hili. Ni hospital gani ambayo inatoa huduma ya kufunga bracelets kwenye meno kwaajil ya kufanya proper arrangements ya meno kwa kutumia Bima ya Afya. Natanguliza shukran
  12. Jiwe kuu001

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa tatizo hili la PC

    Asante mkuu nitaleta mrejesho
Back
Top Bottom