Recent content by Jiwe kuu la pembeni

  1. J

    PART.3: Nimekutana na kiumbe cha ajabu Mikumi Mbugani

    huyu anaweza kuwa anamwongelea yule mpiga ........
  2. J

    Nimetoka kumfumania Interviewer na mke wangu sasa hivi gesti, Je kesho kitaeleweka?

    unaweza kuta ni mgoni ni mmoja wa wagawaji wa buku saba kwa huyu kada hivyo anaogopa anakosa buku saba . fisiem kwa kugongana ni nouma bila kusahau kugongeana ni hatareee mbaya. kada vumilia maana mjini kiuno mtaji
  3. J

    Kura Yangu Magufuli, wewe Je?

    Lowassa atoshaaa. makufuri kafungie mlango
  4. J

    Makubaliano ya Viongozi wa UKAWA kifedha yameishia wapi?

    kwa hiyo?. Lowassa hadi ikulu we bwabwaja tu
  5. J

    Magufuli ni kama Mwalimu Nyerere

    DU!. Majibu swadaktaa Magufuri ni nyuki mwenye kelele nyingi sana ila hana asali
  6. J

    GE2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

    mkurupukaji nyuki asiye na asali fisadi namkata wallah magufuri namkataaa.
  7. J

    Tumejiandaa Kulinda Fujo Wakati Wa Uchaguzi

    Nashangaa upotevu huu wa pesa *****. ambulance vijijini hakuna mnaleta haya mavichuguu kama jubilee imewadia hakuna wa kuzuia katu
  8. J

    AXIS OF EVIL: TANESCO/Mkono Advocates/Rex Attorneys/IPTL/Richmond/Dowans

    Naona magambaz katika ubora wenu. shida sio mtu ni kiti na ndicho tunachotaka kukichoma moto 25 october
  9. J

    CCM kutopata kura za watumishi wa serikali

    Hata mimi namkata mkurupukaji.
  10. J

    Hakika Magufuli ni Chaguo la Mwenyezi Mungu

    kuchagua ccm ni hasara kwa kizazi hiki na vitatu vijavyo. mtaikumbuka kauli hii.
  11. J

    Jamaa yenu yupo hoi ile mbaya

    kapime malaria
Back
Top Bottom