Recent content by Jitume

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya kiroho Kenya, Tanzania tuko hatarini

    Mashekhe Wapo wengi na madarass pia. Wewe semea himaya ya nyumba yako tu Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
  2. J

    JamiiForums Tanzania Hawa waandishi wa Clouds ni ovyo kabisa

    Mapungufu ya waandishi wengi wa habari wa TZ wanapofanya mahojiano umeyaona alipohojiwa TL tu? Pole sana. Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
  3. J

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba ni sehemu ya kikundi cha chokochoko dhidi ya Rais Samia, wakati anavamiwa na Makonda, alikuwa na Polepole, rafiki ya Bashiru

    Kwa kumchafua Mzee Waryoba unaonekana wa hovyo. Ni wazi humjui Waryoba!
  4. J

    JamiiForums Tanzania Tuache siasa kwenye elimu ya Udaktari na Sheria. Jifunze kikwazo kilichopo Law School of Tanzania

    Lipo, wamekaa kimya "Bora liende"
  5. J

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Kujifanya wanasheria pamoja na kupenda kiingereza kunakwamisha maendeleo ya mkoa wa Kagera

    Usilinganishe Geita kwenye ukanda wa dhahabu inayowezesha mzinguko wa fedha na Kagera ambayo hakuna kiwanda wala mgodi wa kuwezesha hilo. Kagera imekumbwa na vikwazo kadhaa vya kiuchumi vikiwemo vya bahati mbaya na vingine vya maksudi kutoka kwa watawala. Kwa kutaja vichache rejea vita vya...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi, TAMISEMI imemshinda Bashungwa, imebidi Waziri Mkuu aingilie kati, ndio wizara yenye kelele za uozo

    Una uhakika yeye si sehemu ya walioandaa taarifa za ubadhirifu kwa PM?
  7. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake huvutiwa na kitu gani kwa mwanaume ukiachana na pesa?

    Kasie, Haijalishi. Yaonyesha unafahamu fika wanachotaka wababa.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Familia ya Agustino Mahiga

    Hutokaa umpate mgombea au rais mwenzako, aishi kama wewe. Vinginevyo utaishia kuletewa kibaba cha chumvi, sh 500 karibia na uchaguzi baada ya hapo unaendelea na shida zako. Tunahitaji Rais atakayeheshimu wananchi kwa kusimamia na kuilinda katiba, Kusimamia sheria bila woga wa mtu yeyote na...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Familia ya Agustino Mahiga

  10. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Pengo: Nasumbuliwa na uti wa mgongo, Watanzania Chagueni Rais fukara

    Sawa Mkuu ili mradi usiwe mmojawapo ya wale wanaopiga kura kwa kulipa fadhila za kupewa Tisheti, Kofia, vitenge, bahasha na wali. Tukiri kuwa tuna tatizo bado, wengi wetu/wenu(bahati mbaya hamuelewi) mnahitaji kusemewa na kuelimishwa juu ya haki zenu za msingi.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Connects dots hapa

    Sheria si bado haijasainiwa, ofu ya nini wakuu? Au sheria ikisainiwa mwezi May inaweza kutumika kuhukumu makosa yaliyofanyika mwezi wa April? Nielimishe wakuu.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Nimejizatiti kumtoa Sitta na CCM Urambo kwa tiketi ya CHADEMA

    MNZAJILA GAIRO Tz: Ni kitu gani kimekufanya uamini kwamba IFRS ni 'Inshomile"? Unakurupuka na kuhukumu watu wote jumla jumla kama alivyofanya IFRS? What if IFRS ni shabiki wa Sita anayetokea sehemu nyingine? Je tofauti ya IFRS ni ipi kwa ukurupukaji huu? Waza kidogo kabla ya kuchangia.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Nimejizatiti kumtoa Sitta na CCM Urambo kwa tiketi ya CHADEMA

    Mkuu CHEKEA. Sikubaliani na comment (#13) ya IFRS, ni mawazo mfirisi. Lakini pia sikubaliani na wote WALIOKURUPUKA na kuhamini kwamba IFRS anatokea Bukoba. Hebu msome WINDOW 7 (#14) anatoa mwanga kidogo, kwamba hata huyo aliyejitambulsha kama Paul Andrew Maganga yawezekana siye. Panueni Ufahamu...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya PCCB yafichwa kulinda familia kuu

    Pasco: [PCCB ni chombo cha dola sambamba na jeshi la polisi na vyombo vya ulinzi na usalama, hivyo ripoti zake hazijadiliwi bungeni!. Ripoti inayojadilika bungeni ni ripoti ya CAG!. Ripoti ya PCCB ni 'closed document', yaani ni confidential!./QUOTE] Ripoti ya CAG imejadiliwa bungeni, Je CAG si...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Matokeo kidato cha sita: Sifuri kibao zafutwa kimya kimya!

    Wewe tu ndo haujui! Inaonekana siyo mdau wa elimu ila umetaka kuchangia tu. Fuatilia Ngoja nikusaidie Za zamani | Mpya F 0-20 |F 0- 34 D 21-40 |D 35-49 C 41-60 |C 50-64 B 61-80 |B 65-79 A 81-100 |A 80-100 Mkuu GreatMind Kwamba ufauru wa Kiwango cha D umekuwa ni alama 21-40, na wafahuru wengi...
Back
Top Bottom