Recent content by Jitu primitive

  1. J

    JamiiForums Tanzania QATAR AIRWAYS KUCHANGIA MADAWATI 100 SHULE YA MSINGI CHANZIGE B WILAYANI KISARAWE

    Kampuni inayotoa huduma ya usafirishaji wa anga Qatar Airways nchini Tanzania kwa miongo kadhaa sasa, kupitia safari zake za Dar es Salaam, Kirimanjaro na Zanzibar imechangia madawai 100 katika shule ya msingi Chanzige B, iliyopo wilayani Kisarawe jijini Dar es Salaaam. Hiyo ikiwa ni sehemu ya...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Miss Tanzania 2016 live updates

    Leo huenda tukaona kila kitu kipya ndani ya Rock City, so ajabu huenda na mshindi akawa msukuma
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CUF Mtatiro safarini kikazi, Afrika ya Kusini

    Good to go...!
  4. J

    JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba aomba kutengua kujiuzulu kwake Uenyekiti CUF

    Kama unataka kununa na kufurahi kuwa mshabiki au mpenzi wa siasa za Tanzania yenye kivuli cha Demokrasia tangu kuasisiwa kwake. Tangu kuifahamu kwangu kwa upeo wangu mdogo wa kuijua siasa ni vitimbi vya aina mbalimbali, huyu kamchamba yule, yule kaenda kule na kurudi kule,wale 'wamembania'...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Magufuli aomba Kura kupitia simu

    CHAMA cha Mapinduzi CCM kimezidi kujitengenezea mazingira mazuri ya ushindi katika uchaguzi mkuu wa mwaka unaotarajiwa kufanyika Jumapili, Oktoba 25 baada ya kubuni mkakati mpya wa ushindi ambapo mgombea wa nafasi ya urais Dk. John Magufuli kuwapigia simu wananchi akiomba wampigie kura. Ujumbe...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kura Yangu Magufuli, wewe Je?

Back
Top Bottom