Magufuli aomba Kura kupitia simu

Magufuli aomba Kura kupitia simu

Joined
Mar 21, 2012
Posts
6
Reaction score
1
CHAMA cha Mapinduzi CCM kimezidi kujitengenezea mazingira mazuri ya ushindi katika uchaguzi mkuu wa mwaka unaotarajiwa kufanyika Jumapili, Oktoba 25 baada ya kubuni mkakati mpya wa ushindi ambapo mgombea wa nafasi ya urais Dk. John Magufuli kuwapigia simu wananchi akiomba wampigie kura.

Ujumbe huo unaokwenda kwa watumiaji wa simu za mitandao mbalimbali humfikia mmiliki wa simu kupitia namba +255622333333 na mara baada ya simu hiyo kupokelewa husikika sauti ya Dk. Magufuli akiwaomba watanzania kumpigia kura ili aweze kushinda na hatimaye aweze kuwa rais.

Hatua hiyo ni moja ya njia muhimu za kuwafikia watanzania wote bila kujali itikadi zao na zaidi wale baadhi ya wananchi waliokosa fursa ya kusikia mambo yapi yatafanywa na mgombea huyo endapo kama atafanikiwa kuwa rais.

Ukiacha utaratibu wa kampeni za moja kwa moja majukwaani, mabango, mahojiano katika televisheni, hatua ya Chama cha Mapinduzi kubuni njia ya kutuma ujumbe huo kwa wananchi utawasaidia kujiongezea kura katika uchaguzi huo unaonekana kuwa na ushindani mkubwa.

Pengine hili ndio bao la mkono lililowahi kusemwa kipindi cha nyuma na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama hicho Nape Nnauye kutokana na hatua hiyo kuwa muhimu hususani wakati huu ambao watanzania wengi wanamiliki simu za mkononi.

Kutokana na hatua hiyo ina maana kuwa watanzania wengi wataweza kumsikia mgombea huyo akiwaomba kura mbali na maeneo mengine waliyozoea kusikia sauti yake ikiomba kumchagua katika uchaguzi huo unalenga kumpata rais wa awamu ya tano wa taifa hili.

Chama cha Mapinduzi CCM kimemsimamisha Waziri huyo wa Ujenzi kushika kijiti kinachotarajiwa kuachwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete siku chache zijazo.
 
Good idea.
 
Kwani tatizo ni kusikia ? Watu wengi tu wamemsikia mara kibao, kupitia redio, Tv na hata kwenye mikutano yake......issue hapo ni kukubaliana naye......Watu wengi washafanya maamuzi tayari......

Na kwa wengine kama mimi, nilishafanya maamuzi wakati wa Bunge la katiba, April 2014.....
 
Mkuu, ulikuwa wapi siku zote hizo ?
Join Date : 21st March 2012

Posts : 2
Rep Power : 0
Likes Received0

Likes Given
0
 
Atawapigia watanzania wangapi kwa siku?
 
kupga cm kwa sek 1 ni tsh 3 au 4 kwa sekunde, kwa dak 1 ni sh 180, kuongea na watz mil 22 waliojiandksha n sh ngap?
 
Mwaka huu kweli CCM imeshikwa pabaya duuuhh hadi wanaingia mkataba na mitandao ya simu kuwapigia wateja wao kuomba kura... mwaka huu kazi mnayo aisee hahahahahaaaaaaaaa!!!! mmekuwa kama chama pinzani bana!! hayo mambo tulitarajia tuyaone kwa chama kipyaaa kama ACT vile sio ninyi wakongwe!! RIP CMM!!
 
Kama ni kumsikia nilishamsikia kabla hajawa na wazo lakugombea urais,hizo gharama anazotumia hivyo anatarajia kuzirudisha vipi?au ndio mzigo wa kodi kwa wananchi
 
Ninavyolichukia lisauti lake la kukoroma na kujikomba! Kuna mshikaji wangu aliniahidi kunitumia hela kiasi fulani leo 22/10. Simu yangu ilipoita saa saba nikafurahi kwamba jamaa yangu ananipigia kunitaarifu juu ya dili letu. Kuangalia simu nikastuka kuona namba ya ajabu 0756777777. Kupokea, eti Magufuli anaomba kura yangu.Nilikata simu haraka nikendelea na mambo yangu.

Huyu mtu simpi kura yangu ng'ooo!, atapewa na wengine.
 
Mkuu number umekumbuka kuifuta kweli?
 
kupga cm kwa sek 1 ni tsh 3 au 4 kwa sekunde, kwa dak 1 ni sh 180, kuongea na watz mil 22 waliojiandksha n sh ngap?

Kwa dakika tatu kila mpiga kura mtarajiwa kwa wapiga kura wote waliojiandikisha 23,782,558 ni Tshs (3*60*23,782,558 =4,280,000,000) billioni 4.2. Ni fedha nyingi sawa na zaidi kidogo ya mara tatu ya malipo aliyolipwa Diamond na CCM au sawa na madawati 29,000 au sawa na kujenga health centres 3 na kuziwekea dawa na vifaa vyote na watumishi. Mwaka huu tutasikia na kuona mengi. Mungu ibariki Tanzania!!!
 
Na nyingine inaishia 8888888 mwaka huu matangazo mpaka basi
 
CHAMA cha Mapinduzi CCM kimezidi kujitengenezea mazingira mazuri ya ushindi katika uchaguzi mkuu wa mwaka unaotarajiwa kufanyika Jumapili, Oktoba 25 baada ya kubuni mkakati mpya wa ushindi ambapo mgombea wa nafasi ya urais Dk. John Magufuli kuwapigia simu wananchi akiomba wampigie kura.

Ujumbe huo unaokwenda kwa watumiaji wa simu za mitandao mbalimbali humfikia mmiliki wa simu kupitia namba +255622333333 na mara baada ya simu hiyo kupokelewa husikika sauti ya Dk. Magufuli akiwaomba watanzania kumpigia kura ili aweze kushinda na hatimaye aweze kuwa rais.

Hatua hiyo ni moja ya njia muhimu za kuwafikia watanzania wote bila kujali itikadi zao na zaidi wale baadhi ya wananchi waliokosa fursa ya kusikia mambo yapi yatafanywa na mgombea huyo endapo kama atafanikiwa kuwa rais.

Ukiacha utaratibu wa kampeni za moja kwa moja majukwaani, mabango, mahojiano katika televisheni, hatua ya Chama cha Mapinduzi kubuni njia ya kutuma ujumbe huo kwa wananchi utawasaidia kujiongezea kura katika uchaguzi huo unaonekana kuwa na ushindani mkubwa.

Pengine hili ndio bao la mkono lililowahi kusemwa kipindi cha nyuma na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama hicho Nape Nnauye kutokana na hatua hiyo kuwa muhimu hususani wakati huu ambao watanzania wengi wanamiliki simu za mkononi.

Kutokana na hatua hiyo ina maana kuwa watanzania wengi wataweza kumsikia mgombea huyo akiwaomba kura mbali na maeneo mengine waliyozoea kusikia sauti yake ikiomba kumchagua katika uchaguzi huo unalenga kumpata rais wa awamu ya tano wa taifa hili.

Chama cha Mapinduzi CCM kimemsimamisha Waziri huyo wa Ujenzi kushika kijiti kinachotarajiwa kuachwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete siku chache zijazo.

...kuomba na kupewa ni vitu viwili tofauti young man; kwamba mna mapesa ya Escrow, mnayatumia kwenye kampeni zenu is not a problem.The fact ni kwamba, as long as ni mgombea wa ccm anawawakilisha ccm, na ndio waliotutawala for 54 yrs, then there is no way back.
Mbwa mwitu mmeshatutafuna sana, inatosha.!!
#lowassa2015!
 
Hakuna namna inabidi tumchague magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli
 
CHAMA cha Mapinduzi CCM kimezidi kujitengenezea mazingira mazuri ya ushindi katika uchaguzi mkuu wa mwaka unaotarajiwa kufanyika Jumapili, Oktoba 25 baada ya kubuni mkakati mpya wa ushindi ambapo mgombea wa nafasi ya urais Dk. John Magufuli kuwapigia simu wananchi akiomba wampigie kura.

Ujumbe huo unaokwenda kwa watumiaji wa simu za mitandao mbalimbali humfikia mmiliki wa simu kupitia namba +255622333333 na mara baada ya simu hiyo kupokelewa husikika sauti ya Dk. Magufuli akiwaomba watanzania kumpigia kura ili aweze kushinda na hatimaye aweze kuwa rais.

Hatua hiyo ni moja ya njia muhimu za kuwafikia watanzania wote bila kujali itikadi zao na zaidi wale baadhi ya wananchi waliokosa fursa ya kusikia mambo yapi yatafanywa na mgombea huyo endapo kama atafanikiwa kuwa rais.

Ukiacha utaratibu wa kampeni za moja kwa moja majukwaani, mabango, mahojiano katika televisheni, hatua ya Chama cha Mapinduzi kubuni njia ya kutuma ujumbe huo kwa wananchi utawasaidia kujiongezea kura katika uchaguzi huo unaonekana kuwa na ushindani mkubwa.

Pengine hili ndio bao la mkono lililowahi kusemwa kipindi cha nyuma na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama hicho Nape Nnauye kutokana na hatua hiyo kuwa muhimu hususani wakati huu ambao watanzania wengi wanamiliki simu za mkononi.

Kutokana na hatua hiyo ina maana kuwa watanzania wengi wataweza kumsikia mgombea huyo akiwaomba kura mbali na maeneo mengine waliyozoea kusikia sauti yake ikiomba kumchagua katika uchaguzi huo unalenga kumpata rais wa awamu ya tano wa taifa hili.

Chama cha Mapinduzi CCM kimemsimamisha Waziri huyo wa Ujenzi kushika kijiti kinachotarajiwa kuachwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete siku chache zijazo.

magufuri over my dead body siwezi kukupa kura. Unakumbuka nilipokupigia sim 2013 dec ukakana kuwa sio no yanko wakati nilipewa na ndugu yako wa damu? Na isitoshe nikiwa dar tunasali wote st peters ostabey ukagoma kunisikiriza? Na kukata simu? Iliniuma sana.

Roomet wangu Rhoda akanipa no ya lowasa.nikakampigia akapokea nikamuuliza samahani naongea na lowasa akajibu ndio mama nikusaidieje? Nikamwambia akajibu siwezi kwa sasa ila ntakutaftia wa kukusaidia na alifanya ivo kiukweli lowasa nampenda bure na mpaka sasa nawasiliana nae.
Lowasa nakupenda bila gharama
 
Back
Top Bottom