Recent content by Jitu la kienyeji

  1. Jitu la kienyeji

    JamiiForums Tanzania Mdharau asili hufa kikatili

    Asili kwanza, Asili Ina nguvu pia unaweza kuibusu ARDHI au kutembea peku
  2. Jitu la kienyeji

    JamiiForums Tanzania Mdharau asili hufa kikatili

    Karne ya 13, Ulaya ilishuhudia moja ya maamuzi ya kijinga na ya kikatili zaidi kuwahi kufanywa na kiongozi mkuu wa dini uamuzi uliokuja kuligharimu bara hilo zima mamilioni ya maisha ya watu na karibu kulifuta kwenye ramani ya dunia! Mnamo mwaka 1233 AD, Papa Gregory IX alitoa waraka rasmi wa...
  3. Jitu la kienyeji

    JamiiForums Tanzania Utajiri hauwezi kununua furaha je umaskini unanunua nini?

    Huku kwenye kulaumu watu hawana nidhamu utawaonea wengi tu. 😂😂😂
  4. Jitu la kienyeji

    JamiiForums Tanzania Utajiri hauwezi kununua furaha je umaskini unanunua nini?

    Unaweza ukawa sahihi mkuu Lakini mara nyingi ukiwa na kinachozidi na matumizi yanakuwa makubwa nidhamu inapotea kwahiyo hoja yangu bado Ina logic bila kujali nukuu ya Warren Buffett.
  5. Jitu la kienyeji

    JamiiForums Tanzania Utajiri hauwezi kununua furaha je umaskini unanunua nini?

    Rudia tena mkuu
  6. Jitu la kienyeji

    JamiiForums Tanzania Utajiri hauwezi kununua furaha je umaskini unanunua nini?

    Upo sahihi, maana maskini uwa wanajifariji kupitia maneno hayo.
  7. Jitu la kienyeji

    JamiiForums Tanzania Utajiri hauwezi kununua furaha je umaskini unanunua nini?

    Watu wengi wanafikiri umaskini unatokana na udogo wa mshahara, lakini ukweli mchungu ni kwamba unatokana na mlolongo wa makosa ya kifedha unaoyafanya kila tarehe Mosi. Unapokea fedha, unalipia kila mtu mwingine kwanza, kisha unalia huna akiba pindi mwezi unapoisha. Kama alivyowahi kusema...
  8. Jitu la kienyeji

    JamiiForums Tanzania Ulifundishwa Nini Uongo Shuleni?

    Ivi wewe unajua tofauti ya elimu na akili???
  9. Jitu la kienyeji

    JamiiForums Tanzania Ulifundishwa Nini Uongo Shuleni?

    Hii ni filamu Kali sana ya uongo
  10. Jitu la kienyeji

    JamiiForums Tanzania Ulifundishwa Nini Uongo Shuleni?

    Duh!
  11. Jitu la kienyeji

    JamiiForums Tanzania Ulifundishwa Nini Uongo Shuleni?

    Mkuu Kuna tofauti kati ya kuheshimu na kuogopa mzazi au yeyote aliyekuzidi umri usimuogope ila mpe heshima yake
  12. Jitu la kienyeji

    JamiiForums Tanzania Ulifundishwa Nini Uongo Shuleni?

    Sasa mkuu Huu ni uongo au ni ukweli?
  13. Jitu la kienyeji

    JamiiForums Tanzania Ulifundishwa Nini Uongo Shuleni?

    Ila Huu uongo haujatokea shuleni japo ni uongo kabisa.
  14. Jitu la kienyeji

    JamiiForums Tanzania Ulifundishwa Nini Uongo Shuleni?

    Weka uongo wote mkuu mpaka watu wazinduke
  15. Jitu la kienyeji

    JamiiForums Tanzania Ulifundishwa Nini Uongo Shuleni?

    Ndio, Jitu la kienyeji hapa
Back
Top Bottom