Mkuu RingaRinga umeongea kitu ambacho ni fact, as watanzania tuna magonjwa ya msingi yanayohitaji tiba yenye kuleta nafuu ya kudumu na si ya muda mfupi.
Imefikia mahala ukiulizwa utamaduni wa mtanzania uuelezee utadanganya kwa kuwa watanzania wa leo si wa kesho, unavyomuona leo si vile...
Kwa mujibu wa hotuba ya raisi kwa wafanyabiashara leo jijini dar, samaki wamekuwa wakiibiwa au kuvuliwa seerikali ikiwa inashuhudia kwa rada.
Hii ina maanisha nini? Si ajabu hata zilizokamatwa na Magufuli kesi ilipindishwa, mbona majipu ni mengi sana?
Mkija kitaa 2020 kuomba kura mjue hii itakuwa ajenda pia, lazima mtueleze jinsi mtakavyosaidia kubana matumizi ya serikali ikiwamo kupunguza posho za wabunge,
Kumbuka #WhatWouldMagufuliDo ndio habari ya mjini hadi uchaguzi ujao, na usidhani usichokiweza wewe wenzio hawakiwezi, na wenzako...
Acha kukurupuka! Nilichofanya ni kuonesha kuwa yote yanawezekana ndo maana nikasema SI AJABU, sijasema HAKIKA yeye hajui kinachoendelea,
Au unaugomvi na SSB mkuu?
Bakhresa ni taasisi kubwa imeajiri watu wengi.
Si ajabu ufisadi hufanyika bila yeye kujua.
Ila linapotokea tatizo kama hili ndipo shoda hutokea, atakaeonekana mkwepa kodi ni bakhresa mwenyewe kumbe kuna mti kajinufaisha kwa mgongo wa syndicate
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.