Wickama
Platinum Member
- Mar 8, 2009
- 1,577
- 1,365
Wanaukumbi,
Magereza au jela zipo kwa ajili ya sisi wanajamii. Potelea mbali mkasa au sababu husika lakini si ajabu ukawa na kaka, dada, baba, mama, mke au mumeo aliye kifungoni.
Vifungo vinatofautiana urefu. Lakini ukiwa na mwanafamilia, mumeo, mkeo au mwanao ambaye kifungo chake kirefu (mfano 30yrs) ndio kinafikia mwisho ni maandalizi gani ya msingi ya kumfanyia ili kumpokea huyu nduguyo/mwanandoa mwenzio ili arejee kiusalama kwenye jamii na familia?
Kwa kuzingatia muda alioishi nje ya jamii na familia (30yrs) ni vitu gani huenda vikamzingua kiasi kuwa itabidi uvipe umuhimu wa kumweka sawa ili aendane na hali?
Hebu tuelimishane.