Jamani hebu tujitahidi kuyaelewa haya mambo bila mihemko. Hiyo 4% ni mrabaha na inalipwa kwenye gross value. Hapo mwekezaji bado hajatoa gharama za mtaji na uendeshaji. Bado atatakiwa kulipa kodi kibao kama kodi ya mapato ambayo ni 30%, SDL, PAYE, withholding tax, service levy nk. Kiuhalisia...