Ni wazi kwamba JF ni ya great thinkers...ni vema tunapofika kuchangia tuwe tumeelewa nini twachangia mathalani hoja inayokuwepo.
Hoja ya Paul Alex, ilihitaji sasa dhana ya great thinkers tena ya hali ya juu. Sidhani kama ilikuwa ya kisiasa, bali nafikiri ilikuwa ni ya kifalsafa zaidi, hapa...
Sina mashaka, Rais tangu enzi za ubunge na uwaziri ni mtendaji mzuri. Ana uchungu na nchi yetu isonge mbele. Ana mawazo chanya na wananchi, si mwigizaji zaidi ya kuwa mtendaji.
Kubwa zaidi, naomba wasaidizi wake wamuunge mkono, ifike kila mtanzania aone faraja ya kufurahia maisha na matunda ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.