Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
Baada ya kushindwa Uchaguzi Mkuu 2015 majukumu ya Idara ya Uenezi CDM yamepwaya sana na badala yake ni LOWASSA kutoa matamko ya kujiteua kuwa mgombea 2020, mara atafukuza madiwani wa UKAWA wasiowajibika na kadha wa kadha! Tumaini Makene yuko wapi? Sisi wafia CDM Asilia tunaumizwa sana na mambo holela kwenye Chama Chetu!