Ndo mana nmesisitiza awe nao macho mara nying sana wamekua wanamwangusha raisi,, lengo sio kumuharibia ulaji mtu bali kujenga umakini ktk utendaji ile kuleta maendeleo kwenye taifa letu
Utoto upi mkuu?? Kwan ww umedanganywa mara ngapi na serekali hii? Bas na ww utakua mjinga hoja hapa ni wasaidizi wake kwenda kinyume na matamko ya mwajiri wake full stop
Kuna tabia ambayo imejengeka kwa wasaidizi wako pale unapotoa tamko halifanyiwi kazi au halitelekezwi kwa asilimia 100 % na hii inapelekea kutoa taswira au mtazamo hasi wa wananchi kwa serikali yako tukufu ,tamko lako raisi linapotoka kinachofuata ni utekelezaji tena kwa asilimia zote na...
Kwa jinsi mambo yalivyo ebu fuatilieni mana agizo lilikua wazi kwa raisi vijana opp magufuli wapatiwe ajira na alisema idadi yenu haizidi mia nane iweje wachukuliwe baadhi wengine waachwe? Ndo yale yale raisi ana dhamira ya dhat kbsa kwa wananchi wake ila wawakilshi wake wanamuangusha
Kwanza polen sana vijana,suala lenu nlilisikia toka mwez wa kumi na mbili mwaka jana kuna dogo nae n muhanga WA hili,aliniambia ukweli kuhusu hili suala ,kwanza ni utata WA usaili kwa maana ya kusailiwa watu ambao hawakushiriki kwenye miradi au Ambao hawakua kwenye idadi ya raisi mpendwa Dr John...
Anadai akila kitu chochote anacheza na akilala akiangalia juu au kichalichali ndo anacheza zaidi na Leo analikua anaongea akacheka kidogo akasikia amekimbilia upande mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Poleni na majuku wakuu,niende moja kwa moja kwenye mada nina mke ambaye anaujauzito Wa miezi mitano na siku kadhaa ila shida mtoto anacheza sana na mke wangu ananiambia akicheke mtoto anajikusanya sehemu moja nna wasi wasi naombeni msaada Wa mawazo kuhusu hili .natanguliza shukrani
Sent using...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.