Recent content by Jinikashkash

 1. Jinikashkash

  Rais wangu Samia Suluhu, tusiguse Hifadhi

  Itafanyika kama vile Jiwe alivyofanya Selous
 2. Jinikashkash

  Rais Samia Suluhu Hassan awaapisha Viongozi mbalimbali walioteuliwa hivi karibuni

  Gbadolite na Yamasoukrou vimebaki kuwa mazalio ya popo tuone Tz chapter
 3. Jinikashkash

  Kigwangalla: Nilichosema kuhusu chanjo ya COVID-19 sio Usaliti dhidi ya fikra za Magufuli

  Nini Cha ajabu unadhani utafiti wa dawa ni sawa na kucheza ndomboloo Kuna ethics za ugunduzi,matumizi,ubora wa dawa. Taasisi kama Muhimbili haitakiwi ku act kama wagaganga wa kienyeji
 4. Jinikashkash

  Mwigulu hatodumu Wizara ya fedha, hana traits za kuimudu kazi yake

  Huyu ndio yule alipopewa wizara ya mifugo akawa anadamkia machinjio ya Vingunguti Hawezi kudumu kwani karata yake kubwa kwa Magu ilikuwa ni wingi wa matusi atakayo iporomosha kwa Chadema na Zito jambo ambalo halitamsaidia awamu hii
 5. Jinikashkash

  Rais Mama Samia kuwa makini na hili zuio la Polisi kuhusu Pasaka

  Polisi pia wamezuia Dua ya kumuombea Marehemu Maalim Seif, kule Lindi
 6. Jinikashkash

  Hili fumbo la Rais Samia kwa Kakurwa, linafikirisha

  Acha udini mbuzi. Salaam za kidini yalianza kwa Meko na wala si utamaduni wa Tz Halafu nani kakwambia KMK ni Mzanzibari?
 7. Jinikashkash

  Baada ya Kakoko na Bashiru, sasa ni zamu ya Dotto James

  Tahadhari kubwa inahitajika,huyu bwana anajua wapi Meko alipokuwa anatoa fedha za kununulia Channel Ten na zile alizokuwa anagawa barabarani wacha za kumlipa yule kandarasi maarufu aliyejenga uwanja wa Chatto
 8. Jinikashkash

  Kumbe mzee Mwinyi "Mzee Ruksa" ni mzaliwa wa Mkuranga, Pwani...

  Kwa hiyo watoto wa huyu Mpemba jirani yangu waliozaliwa Mwananyamala hospital sio Wapemba/Wazanzibari ?
 9. Jinikashkash

  Dkt. Bashiru Ally ulikataa uteuzi wa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi?

  Safi sana Bado Humphrey Polepole
 10. Jinikashkash

  Kuelekea 2025, Hii ndio safu Mpya tunaypoitaka CCM baada ya Dkt. Bashiru kuondoka

  Uchagga nao ni dini? Take a tranquilizer and cool down
 11. Jinikashkash

  Kheri James, achana na sisi kabisa

  Kheri ni kinyago kilichoundwa na ''mtozi' wa Star tv kupitia vipindi vyake kadhaa vya mahojiano. Pia Kuna uzi humu ndani ukieleza uhusiano wake wa kifamilia na Jiwe
 12. Jinikashkash

  ATC Sasa Yaanza Kuleta Heshima ya Nchi, Yapunguza Tanzania Kufanywa Shamba la Bibi, FastJet Yapumulia Mashine, Soon Itafungasha Virago!.

  Pascal Mayalla Je mchango wa ATCL katika kukuza utalii na biashara ndani na nje nchi ni chini au zaidi ya hiyo billion sitini? Je inasaidia wafanya biashara wa ndani kufanya kazi kwa ufanisi zaidi na kulipa kodi?🤔 Breakeven point ya ATCL ni lini (projected)? Just thinking out of the box
 13. Jinikashkash

  Mnaoshangilia tambueni CAG hajamtuhumu Rais aliyepita amefumbua macho kwake na kwa Rais mpya

  ATCL ilikuwa chini yake na yeye kuona hasara mfululizo kwa miaka mitano na bado kaagiza ndege nyingine. Hoja yako dhaifu sana bi mkubwa.
Top Bottom