Rais Mama Samia kuwa makini na hili zuio la Polisi kuhusu Pasaka

Nguvu kubwa ya shetani na mwakala wake ni kupitia kifo.

Hata mamlaka za dunia zinapoyaka kuwatawala watu kimabavu zinatia vitisho na kuua mana kila mtu anaogopa kifo.

Kuna Matukio mawili makubwa : -
Kifo cha aliyekua mtawala wa Tanzania (alishakufa tayari) , imebaki kumbukumbu tu.
na Kufa kwa Masihi Yesu( huzuni) mtawala wa mbingu na nchi na kufufuka kwake (furaha kuu ) ili akamfufue huyo aliyewahi kuwa Mtawala wa Tanzania siku ya Kiyama ya wafu.

Hakika tunapaswa kushangilia kwa furaha kuu na shangwe kuu kufufuka kwa Mtawala wa Dunia na mbingu Masihi Yesu.
Huyu ndiye atakayemfufua Magufuli siku ya Mwisho.

Hawa watu wa dola walijishau sana na kudhini wao ni miungu.
Wajishushe sasa.
Walowatisha watu sana mpaka viongozi wa dini wakawa wanamtukuza binadamu na kumdharau Mungu kwa hofu na woga kutekwa kufungwa na hata kupotezwa.
Walijipendekeza wakajikweza mpaka mawinguni.


Nilidhani kuwa msisitizo ungekua ni kuepuka vitendo vya kihalifu wakati wa Pasaka lakini sio kufurahia kufufuka kwa Masihi kama Wakristo wote wanavyoamini.

Watu wanataka kuanza mapama kumpaka matope rais wetu Mpendwa sana sana Mama Samia kwa kumchonganisha na imani za watu wengine ili aonekane anaingilia mambo ya imani za watu.
Hii nchi ina amani na Mungu anailinda ili tumwabudu kwa haki na kwa uhuru .
Uzur katazo kaliona anawez kuwambia wapumzike
 
Aliyelitoa ni mpinzani wa Yesu, tena anakuona wewe ni KAFIRI, usitegemee huruma, kumbuka kuna wimbo mnaimbaga, MTETEENI YESU MLIO VITANI, ASKARI WA YESU, huu ndio wakati wa kumtetea dhidi ya wapagani wanaotaka kulilia maiti na kuacha mfufuka.
Kwel dini zote zililetw na meli ila uhuru wa kuabudu muhimu
 
Hivi ni nani asiyejua kuwa taifa limo kwenye maombolezo ya msiba wa mpendwa wetu Dk.John Pombe Magufuli? Hivi mtoa hoja ungekuwa na msiba ndani mwako na pasaka ikakukuta, ungeshughulika na msiba au ungekwenda kusherehekea pasaka?
Tambua serikali inathamini uhuru wa kuabudu na inaheshimu dini zote.Lililotufika ni kubwa na la muda.Pasaka ipo na itaendelea kuwepo.
Mimi ni mpagani ila siungi mkono tamko
 
Mm ni mpagani ila sina ugomvi na dhehebu lolote japo najua kuwa skujiumba.
upagani nao ni dini kama zilivyo dini nyingine, hata ukienda mahakamani ama mfumo wowote rasmi mfano Polisi , kipengele cha dini utajaza mpagani ,ama freemason,ama Islam ama Pentekoste.
 
Back
Top Bottom