Recent content by jingojames

  1. J

    Kati ya Songea na Singida ni mkoa upi mzuri kwa mtu anaetaka kuishi na kujishuhurisha na ufugaji na kilimo?

    Ruvuma(Songea)ni moja kati ya Mikoa mitano(5) inayoilisha Tanzania.
  2. J

    Mnaosema Rais wetu wa awamu fulani alikuwa wa matanuzi, hebu muangalieni huyu

    Huyu si Rais ni Mfalme,maana kwenye vyeo vya kifalme ,wanaoongozwa hawana ruhusa ya kuhoji mwenendo wa mfalme wao,uwa kama Mazezeta! Kama ni Rais wanaharakati,vyombo vya ulinzi na vyama vya siasa vifanye jambo muhimu la kuleta mabadiliko ya uongozi.
  3. J

    Vigezo vya kutoa pesa kwa mwanamke ambaye siyo dada yako au mama yako

    Je,una vigezo vya kuomba hiyo kuanzia laki 5+ lakini!?
  4. J

    Utanichukia, lakini bado nakuambia: RC Makonda badilika kwani unaharibu na unamuharibia sana Rais

    Umempa ushauri mzuri sana hila nina wasiwasi kama atakuwa na hekima na busara za kuuona umuhimu wa kuupokea maana sidhani kama kwa awamu mbili za uongozi ambazo binafsi nimezishuhudia amewahi kutokea kiongozi wa kada yake(rc) akawa na nguvu kubwa(kulumbana na mawaziri nk) na kupuuza sheria...
  5. J

    January Makamba mwenzio akinyolewa na za kwako tia maji kabisa, usiseme hatukukueleza

    January Rajab Makamba ni turufu ya CCM kwy nafasi ya uraisi huko tuendako,anatosha kabisa!
  6. J

    Jibu kwa Hussein Bashe na Zitto Kabwe wanaong'ang'ania SGR kupitia Kigoma hadi Burundi

    umejustify kwanini Tanzania tunapaswa kwenda kuifanya Rwanda iwe east africa's transportation(and lately economic) hub na ndiyo hoja ya Bashe hapa kwamba kwanini tuistick kwenye EAC 's protocol ambazo tumeshiriki kwy maamuzi toka mwanzo!?
  7. J

    Mwigulu angejiuzulu angejijengea heshima sana kisiasa na kijamii

    Kawasasa hatakuwa na sifa za kugombea tena ile nafasi ya ndoto zake(ambayo ndiyo inamfanya atulie kimya kuogopa yaliyomkuta Nape yasimkute na yeye)
  8. J

    Wakili Fatma Karume: Msingi wa kuleta maendeleo yoyote yale ni kupatikana kwa haki ya kuongea

    Sisi sote ni watanzania,wacha hayo mambo yako ya uzanzibar na utanganyika,wewe jenga hoja yako kwenye kile alichokisema kama yupo wrong or right just challenge her on that basis.
  9. J

    Maandamano ya Aprili 26, 2018: Yanayojiri kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi

    Kwakweli Mange ameipigisha kwata nchi,hadi sasa amefanikiwa kwa 78%
  10. J

    Hatari! Dada aibukia kwa RC Makonda na kudai ametelekezwa na baba yake ambaye ni Mzee Edward Lowassa

    Kuna majibu alitakiwa kuambatanisha na hy clip aliyosambaza kwy mitandao ya kijamii hili apate kuaminika,mf.umri wake,cheti cha kuzaliwa,hatuha alizowahi chukua yeye na mama yake kwenda kwa Baba yake na kwa familia ya baba yake(na kama aliwahi kukataliwa,na ingefaa zaidi na mama yake angeeleza...
  11. J

    Rais Magufuli: Maaskofu wahimize ujenzi wa viwanda vya dawa badala ya kuhubiri mambo yasiyo na tija kwa Tanzania

    Kwamba waliofanya Industrial Revolutions huko Europe, America na China ni kutokana na maombi ya Viongozi wa Dini,basi punde nasi tutakuwa huko!
  12. J

    CHADEMA yazipelekea barua balozi za Marekani na Ujerumani kuhusu tuhuma za Musiba kwamba zinaihujumu Tanzania

    Sifahamu cheo alichonacho serikalini labda usaidie kunijuza ktk hilo ndugu.
Back
Top Bottom