Recent content by Jing chu

  1. Jing chu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hapo sijajuwa
  2. Jing chu

    JamiiForums Tanzania Hatimaye naanza kuona amani ya moyo

    [emoji3][emoji3]
  3. Jing chu

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kufanya maamuzi haya magumu japo naumia sana

    Sawa mkuu
  4. Jing chu

    JamiiForums Tanzania Hatimaye naanza kuona amani ya moyo

    Hakuna sehemu nimesema simpendi rafiki soma tena andiko.
  5. Jing chu

    JamiiForums Tanzania Hatimaye naanza kuona amani ya moyo

    Sawa sikulazimishi unielewe.
  6. Jing chu

    JamiiForums Tanzania Hatimaye naanza kuona amani ya moyo

    Wewe ndo hujanielewa mkuu, hapa nilipo huenda kurudi ikafika mwakani ndo nikarudi ila siku tatu nazifurahia kuona amani inarejea. Nimejipa hadi mwaka wote huu uishe nitakuwa nishaona lolote ndani yake ,sitaacha kupiga simu kwa sababu ya mwanangu.
  7. Jing chu

    JamiiForums Tanzania Hatimaye naanza kuona amani ya moyo

    Kiukweli sina mpango na kutafuta demu mwingine aisee. Sana sana nitafute pesa tuu.
  8. Jing chu

    JamiiForums Tanzania Hatimaye naanza kuona amani ya moyo

    Amina
  9. Jing chu

    JamiiForums Tanzania Hatimaye naanza kuona amani ya moyo

    Nipo pande fulani hivi, njoo hapa utanikuta.
  10. Jing chu

    JamiiForums Tanzania Hatimaye naanza kuona amani ya moyo

    Sana yaani 3days niko kama peponi
  11. Jing chu

    JamiiForums Tanzania Hatimaye naanza kuona amani ya moyo

    Sawa mkuu, nilitaka ajue sijamkimbia na wala simuogopi napiga sio kumuumiza bali ajue nipo na hana namna ya kunifanya.
  12. Jing chu

    JamiiForums Tanzania Hatimaye naanza kuona amani ya moyo

    Hatamimi nikiamua natuma hayo majini kwani bei gani
  13. Jing chu

    JamiiForums Tanzania Hatimaye naanza kuona amani ya moyo

    Kabisa
  14. Jing chu

    JamiiForums Tanzania Hatimaye naanza kuona amani ya moyo

    Sikupingi kwa mawazo yako , sioni kama kupiga simu ni ishara ya udhaifu bali pia nina target zangu. Eniwei iwe hivyo kwako but i m strong enough.
  15. Jing chu

    JamiiForums Tanzania Hatimaye naanza kuona amani ya moyo

    Saw
Back
Top Bottom