Vita Hadaa: Hapo uenda kapiga jiwe moja ndege wawili. Moja, kawatisha US 🇺🇸 wabalance uingizwaji wa F16. Pili, kama rubani akifanikiwa kuileta Russia basi watapata advantage ya kuisoma mifumo iliyopo katika ndege hizo.
Kuna baadhi ya matukio ya vifo vya viongozi yanatokea natural, mpaka pale uchunguzi utakapofanyika na kubaini sababu ya kifo. Huku kusema mara Mossad mara CIA, ni mazoea tuliojiwekea kutokana na matukio mbali mbali yaliyowahi kufanywa na mashirika mbalimbali ya kijasusi. Tusubiri majibu ya...
Historia inaonyesha ili super power izaliwe lazima pawepo na vita ya dunia na bwana mkubwa atakaekuwa imara kijeshi na ki uchumi wakati wa vita vikiendelea huyu ndie atakaekuwa kiongozi wa dunia. Hali inaonyesha kuna taifa linatakakuchomoza kuwa superpower. Marekani inajaribu kutunisha msuli ili...
Shule walitufundisha kuwa historia ni somo la maisha ya nyuma ambalo pia umuhimu wake hutusaidia kutabiri maisha, ya mbele, ukiwa mzuri sana katika historia lazima uwe mbashiri mmoja mzuri sana. Ukiwa empty kichwani kamwe huwezi hisi chochote wala kuwa na hisia na wala huwezi ku predict...
Ni kweli kabisa ila kuna vitu vyengine ni UNTOUCHABLE. Ukichezea dini hakuna mtu atakaekupenda katika maisha hata wasio na dini pia watakuchukia (wengine wana maslahi nazo ya kidunia). Dini ni nature ya ulimwengu ambayo kamwe huwezi kuipitia kwa mbele na kuikinga, we tulia tu na uvumilie tu...
Jamani kuna watu waongo kweli duniani, utakuta mtu anaumwa halafu anatoka mtu mwengine anakwambia eti Jaribu kuchemsha bunda la mpapai utapona.
Kuna jamaa mmoja nilimkuta akichemsha majani ya nanasi kaambiwa kuwa ni dawa ya kibofu. Na wengine huambiwa kuwa ukichemsha mbao zile za 2×2 za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.