Usifanye nae makubaliano coyote, maana makubaliano yoyote kisheria ni mkataba, wewe akingia kituo cha mafuta jiongeze, hii itakuweka wewe huru kuliko makubaliano ambayo itakuwa ni lazima, je siku ambayo mambo hayako vizuri huoni kwamba ataanza kuona kwamba umekiuka makubaliano? Muhimu wote muwe...
Hilo suala la tabia siyo suala la wachaga tu ni suala la jamii nzima ya Kitanzania na duniani kote.Hakuna kijana atakaemuacha binti mwenye muonekano unaomvutia kisa tabia yake,i baadae anakuja kugundua kuwa sura ilikuwa geresha tu..mtu halisi ni tabia zake.
Muhimu ni kuachana na masuala yasiyo kuhusu, ridhika na unachokipata,Jiendeleze kwa ujuzi,rudi shule kamilisha ulichokuwa unakitaka, kuwa na maarifa ni tofauti na kuwa na hela tu.
Kwa umri huwo bora ufanye maisha yako tu, maana hakuna jipya huko, kitu usichokuwa nacho kinaonekana kizuri kutoka nje...ila ukiingia ndani unakikuta hamna jipya.
Watanzania tumesikia na kuona jinsi nchi yetu inavyochezewa, haileti maana kabisa kwamba umeshtaki kwa mahakama kwamba mtu fulani ni mualifu, halafu ukiambiwa njoo utoe ushahidi ili sheria zichukuwe mkondo wake unakimbia? Unatakatuelewenini?. The general rule is that he who alleges must prove...
Ni kwamba hawo wachaga wamewekeza sana kwenye hayo maeneo ambayo migogoro inatokea, siyo kwamba wanadhulumu, hapana unakuta hiyo jamii imewekeza sana kwenye eneo fulani hivyo katika nyumba kumi huwezi kukosa tatu za wachaga.
Yaani story yako imeniuma kama vile ni mimi yalinipata, kwanza anakuonaje/anakuchukuliaje kiasi kwamba akuulize suala ambalo halihusiani na upangaji wako kwake?
Tafuta dalali akutafutie mpangaji hapo kwake, halafu huyo mpangaji hela ya kodi unaichukuwa wewe yaani anakurudishia ile uliyokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.