Recent content by jimy plus

  1. J

    JamiiForums Tanzania Nyalandu awaasa watalii wanaokuja Tanzania kutumia ndege zinazotua Kilimanjaro

    Safi sana mzee nyarandu..nakukubali sana..nimependa sana..A man die once
  2. J

    JamiiForums Tanzania Rangi halisi ya Mchungaji Msigwa yaanza kuonekana, CHADEMA watch out

    Upinzani Siyo uhasama Jamani..safi msigwa
  3. J

    JamiiForums Tanzania Zitto kuaga wabunge wenzake leo - Machi 19, 2015

    Tukisema mkubwa anatumika mnatushambulia
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mkasa ulionikuta baada ya kumtongoza msichana wa JF

    Viroba vya jumamosi vinakuchanganya
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kinana na timu yake wawasili Monduli, walakiwa na umati mkubwa ukiongozwa na Edward Lowassa

    Nimependa fake smile za mzee Kinana na Lowasa kama wanapatana vile..safi sana..Siyo kama chama chetu chenyewe mtu akikosea anafukuzwa kama mbwa..eti tunafata sheria, sheria kwenye Siasa..
  6. J

    JamiiForums Tanzania Picha za Freeman Mbowe na Magufuli yazua mjadala

    Mbowe Ana akili sana..maguful naye anabusara sana
  7. J

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa mheshimiwa Dickson Maimu Mkurugenzi mkuu wa NIDA

    kwakweli ni mungu tu atuongoze la sivyo..; wewe unashindwa kutwa nzima unapewa buku kumi afu wao wanatembelea maVX na hyundai. wanatunyanyasa kwasababu soko la ajira ni gumu
  8. J

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa mheshimiwa Dickson Maimu Mkurugenzi mkuu wa NIDA

    Habari yako Mkurugenzi mkuu wa NIDA Bwana Dickson Maimu, Mimi ni mfanyakazi wako wa muda wa nida kitengo cha uzalishaji, Mkurugenzi wangu nimeona labda hii ndo njia nzuri ya wewe kuelewa jinsi tunavyohangaika siye wafanyakazi wa muda. Mkurugenzi mwezi wa kumi ulifanya mabadiliko katika idara...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kenyatta wa Kenya - Mtoto wa nyoka ni nyoka tu

    " if i compare two evils between kikwete and kagame" i'll choose kikwete
Back
Top Bottom