Kwa hiyo mzee MshanaJr kutokana na hadithi hizo hapo juu mbili Kisha hii ya huyu kunguru, sisi watanganyika ndiyo huyu kunguru? Dah! Kwa hiyo hatutasahau sie na vizazi vyetu? Hatari sana
Hata kama Kuna maajabu kwenye vitabu vya kiroho hii ni uongo mtupu na ni hadithi za kutungwa kwa baadhi ya mambo. Nuhu alishaondoka Duniani zaidi ya miaka 300 huko kabla hata Abraham hajazaliwa, aliwezaje kumlea?!
Kuielewa hii inahitaji mtu aliyekomaa kifikra. Kuna yule shekh Hamza alikuwa akihubiri mambo ya ukristo akaja kubananishwa na mashekh wenziye. Wale mashekh wakamwabia wewe unawaimarisha Hao baladala ya kuimarisha wenzetu! Haiingii akilini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.