Recent content by jimmy salya

  1. jimmy salya

    uchaguzi wa ccm ngazi ya ubunge

    katika sintofahamu imejitokeza pia manispaa ya sumbawanga ktk uchaguz wa wabunge na madiwan kula za maoni baada ya mgombea mmoja na wananchi kufanya fujo ofisi za ccm wilaya baada ya kukatwa jina mapema kabsa. hiyo imekua ni kama taratibu za sasa baada ya mtu kushindwa kwamba ni dhahir
  2. jimmy salya

    Pamoja na ujio wa Lowassa CHADEMA, Dr. Slaa ni chaguo sahihi kugombea Urais

    natumain uwepo wa lowasa ukawa ktk chadema itakua chachu ya mabadiliko nchini hata kama yatazuka meng lkn ni moja kati ya siasa za siasa dunian kote. peoples power ✌
  3. jimmy salya

    Nani anazidi wenzake kwa ujinga?

    Namba 4 mwana, yan kusoma txt kaona apunguze volume ni balaa!!..
  4. jimmy salya

    Yuko wapi Feruzi?

    maisha ni popote, c kwamba muzik ndo utaomfanya aishi miaka ming lahasha, bali ni yy na utafutaj wake na malengo ktk maisha yake alvo panglia
  5. jimmy salya

    Bondia Mada Maugo Ajiunga na CHADEMA leo Tarehe 08/06/2013

    karibu sana maugo, najua utakua bondia mzur ktk kupgania haki ndan ya chama kwa maendeleo ya nch ye2
Back
Top Bottom