Recent content by Jimmy Romio

  1. Jimmy Romio

    JamiiForums Tanzania Nimeamini mwanaume kuchepuka hakukwepeki, rasmi natafuta mpango wa kando wa kunipoza

    Shida ya Wanaume wengi wanajali hisia zao tu. Mimba huwa zinakuja na makorokocho kibao.
  2. Jimmy Romio

    JamiiForums Tanzania Asikwambie mtu, Premio tamu

    Wewe ndio unachanganya mambo, hukuelewa nilichoandika.
  3. Jimmy Romio

    JamiiForums Tanzania Asikwambie mtu, Premio tamu

    Baki na ubishi wako
  4. Jimmy Romio

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Sijapata mtoto kwenye ndoa nahitaji wa kuzaa naye nje. Naumia kwa msongo wa mawazo (Depression)

    Usijaribu kufanya hivyo. Itaku cost. JIULIZE - Ingekuwa ni wewe una hiyo shida na mkeo afanye hivyo ungekubali? Usiwe mbinafsi wewe. Tafuteni suluhu ya tatizo kwa pamoja bila kuchoka. Kwa muda uliokaa kwenye ndoa ni mdogo sana kwa wewe kuanza kuwa na pressure, kuna workmate wangu alikaa 15yrs...
  5. Jimmy Romio

    JamiiForums Tanzania Asikwambie mtu, Premio tamu

    Sio D4, Mbona ziko nyingi tu? Naongea ninachokifahamu. Ninayo ina miaka karibia nane sasa.(engine 1ZZ-FE), Fuel consumption iko vizuri sana. Maintenance yake nu kawaida sana. Fanya service kwa wakati, tumia vilainishi bora, n.k. Utaipenda!
  6. Jimmy Romio

    JamiiForums Tanzania Asikwambie mtu, Premio tamu

    Kwa highway - 1L ni 16km Kwa mjini - 1L ni 12km
  7. Jimmy Romio

    JamiiForums Tanzania Gari imegoma kuwaka, abiria akaomba kushuka

    Kama engine (mwili) haina shida itakuwa mafuta mkuu. Uwe unajaza mafuta yenye ubora. Ukiweka yaliyochachuliwa ni shida sana. Kila siku jaza tikiti maji na mbegu zake, parachichi, tangawizi na achana na kujaza majunk.
  8. Jimmy Romio

    JamiiForums Tanzania Asikwambie mtu, Premio tamu

    Ziko vizuri sana. Kuliko kununua ile ndogo bora ya 1990cc. Ulaji wa mafuta sijaona tofauti yake. Engine kubwa ni nyepesi zaidi kwene mwendo.
  9. Jimmy Romio

    JamiiForums Tanzania Asikwambie mtu, Premio tamu

    Gari ni matunzo! Na uendeshaji wako pia. Iko Namba C ila ukiiendesha utasema mpya.
  10. Jimmy Romio

    JamiiForums Tanzania Asikwambie mtu, Premio tamu

    Premio 1L inaenda 16km kwa highway. Ninayo mwaka wa 8 huu sasa. Anachosema ni kweli
  11. Jimmy Romio

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa nyumba: Budget ya milioni 25

    Haitoshi, Hii nyumba ni kubwa (sqm 156). Kama utatumia material za kiwango cha kawaida kwa hela hiyo itafika kwenye lintel. Kama vitabaki vichenchi havitatosha kupaua.
  12. Jimmy Romio

    JamiiForums Tanzania Nimeweka Engine Oil 20w-50 X-trail NT30 (2003) nipo sawa?

    Kama uko sehemu ambayo joto linakuwa above 30 degrees utakuwa umechemka. Na pia kama uko maeneo kama Mbeya, Arusha n.k oil uliyoweka si sawa pia maana joto huwa linashuka below 20. Ili kubalance ni kuweka 5W40 ambayo viscosity yake haiko mbali sana na hiyo 5W30 na pia unaweza kuendesha mkoa...
  13. Jimmy Romio

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kushindwa kurudia raundi ya pili kwa miaka10 sasa

    Sidhani kama vinapona. Nikiwa na njaa au mawazo ndio vinauma. Nakula vykula vyote.
  14. Jimmy Romio

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kushindwa kurudia raundi ya pili kwa miaka10 sasa

    Mwandendeeeeeeee!!! Kama nakuona vile 🤣 🤣 🤣
  15. Jimmy Romio

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kushindwa kurudia raundi ya pili kwa miaka10 sasa

    Mimi mwenyewe ninavyo ila tangawizi nayokunywa ukali wake si wa nchi hii. Hata ndizi mbivu nakula. Kipindi cha nyuma nilikuwa nikila ndizi napata kiungulia sana, nikaja kutumia dawa moja ya kienyeji ya kutoa nyongo ikanisaidia sana.
Back
Top Bottom