Recent content by jimmy joh

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanajeshi hawakatwi Kodi?

    Usikurupuke kuongea kabla hujafanya uchunguzi wa kina,acha kufuata vijistori vya vijiweni,mnadanganyana tu.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Asili ya maneno 'Shikamoo' na 'Marahaba' ni utumwa, kwanini tunaendelea kuyatumia?

    Na je,wale watu ambao wanatoa hiyo shikamoo kwa mtu ambaye kiuhalisia amemzidi umri,ila ni kwasababu ya kipato(utajiri) ili kupata ajira,na hapo utazungumzia umri?
  3. J

    JamiiForums Tanzania Wanaume, huu si uungwana hata kidogo

    Ni kweli kabisa wanaume wenye tabia kama hii tujirekebishe
Back
Top Bottom