Recent content by jimmy jem

  1. J

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu na akili zako timamu unawezaje kufanya kazi ya malipo laki na hamsini Kwa mwezi

    Endelea kukua tu dogo, kuna umri ukifika utamuelewa tu huyo bro anaesotea 150k monthly
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kumbe Kuna feature hii jf na hamsemi

    Tecno yangu naona hai support hiyo feature
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anathamini sana kazi kuliko familia

    Brother pole. Mm nakushauri kama ifuatavyo; andaa muda mzuri wa mazumgumzo na mkeo, ninaposema "muda mzuri" ninamaanisha nyote muwe katika mood ya kuzungumzia mambo ua familia Waweza mtoa hata out. Sasa hapo kuwa muwazi kuhusu wasiwasi wako kuhusu yeye ku- devote muda mwingi kwa kazi yake na...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Nataka kuacha kazi, ushauri tafadhali!

    Ndugu , kwanza kabisa pole sana na maswahibu ya unyonyaji wa hao maboss zako wahindi. Pili, ninakushauri usithubutu kuacha hiyo kazi kwani huo mshahara unaoupata si haba sana. Unachotakiwa kufanya ni kuitatua hiyo changamoto inayokukabili ya kushindwa kufaidi matunda ya jasho lako. Changamoto...
Back
Top Bottom