Recent content by jimmy fergue

  1. jimmy fergue

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Mbona sijakuelewa mkuu...ni kwamba unauliza au unasema ?? Maana hiyo movies sio poa
  2. jimmy fergue

    JamiiForums Tanzania Nimepata mkopo usiku huu kutoka HESLB

    OLAMS
  3. jimmy fergue

    JamiiForums Tanzania UDOM

    Nauliza UDOM walitoa majina ya waliochaguliwa kusoma bachelor degree 16/17 ??
  4. jimmy fergue

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu GTA 5 ONLINE

    Nina ps3 nimeichip na nahitaji kucheza games online ... Kuna story kwamba niki connect na internet ps3 ita corrupt all files sasa vipi nitacheza online. ??
  5. jimmy fergue

    JamiiForums Tanzania Waliokosea kujaza form ya HESLB 2016

    Kuna sehemu ambayo kuna maswali na majibu kwahiyo unakata majibu yasiyo sahihi ... Mfano mwombaji wa mkopi ni/si mkazi wa eneo husika ... So unakata si .... Hayo maswali yapo juu kidogo kutoka kwa zile sehemu ambazo zinatakiwa zisainiwe na mwenyekiti katibu na mtendaje
  6. jimmy fergue

    JamiiForums Tanzania Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu PC games

    Napata shida jinsi ya ku play pes 16 online... Hii kitu inakuaje naomba msaada ..... Maana nacheza na watu ambao nawafunga sana sasa natafuta competition online plz help me.
  7. jimmy fergue

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kucheza PES16 pc game ONLINE

    Naomba msaada jinsi ya kucheza PES16 online...au kwa mwnye hiyo game iliyo full cracked naomba msaada.
  8. jimmy fergue

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye simu yangu. HUAWEI MT-U06

    Natumia Huawei MT1-U06 ina download apps automatically na a lot of ads appers nikiwa naitumia sometimes inaji restart automatically nifanyaje wana jamii forum .
  9. jimmy fergue

    JamiiForums Tanzania Application katika play store

    mi natumia vault ... inanisaidia and easy to use.
Back
Top Bottom