Kama hayana ubora huja lazimishwa kununua mzee,nunua cement +mchanga=fyatua kwa ratio unayotka,kuna mwamba mmoja nilimpigia saluti yeye kwenye mfuko alikua anatoa tofari 15 tu
Dini ni utapeli tu wa wazungu kuwahadaa na kuwaibia waafrica rasilimali zao,ndo maana tunaambiwa tusiende kufagua kwenye kabulibza baba na babu zetu eti ni mizimu ila tunatakiwa kuwaabudu kina Isack n.k etibwao sijui ni nani [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Bima ni njia tu ya Sirikali kupata pesa,ukitaka kujua hilo ugua uende hospital ya umma uone ilivyo shida kupata huduma nzuri tofauti na mwenye cash[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
yaani iandaliwe video,harafu mimi mwalimu nianze kukomaa na video,mda ambao natakiwa kuuza vitunguu baada ya kutoka shule ili kujiongezea kipato,are you serious bro!!!???????
vipibwenye likizo zainkisheria,inamaana hao walimu mda wote wawe wanawaza tu kufundisha bila hta kwenda mahali kujifunza vyanzo vingine vya kujiongezea kipato!???
Ndo maana walimu tunatukanwa kwa kuonekana wajinga, serikali imeshapanga likizo walimu na wanafunzi mpate kupumzika ila nyie tena mnakataza likizo eti mkae kufundisha,nini maana ya kupumzika sasa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.