Recent content by Jimena

  1. Jimena

    JamiiForums Tanzania Wakili wa serikali Katuga hajasema kweli; kisheria maneno "shall be liable" maana yake ni lazima, kama sio lazima lugha sahihi ni "will" au "should"

    Mi kila nikiwasikiliza hao mawakili wa serikali naona kabisa kuwa uwezo wao ni mdogo ukilinganisha na wa Lissu
  2. Jimena

    JamiiForums Tanzania Wadau wamimina pongezi kwa Madereva, yadaiwa Ushujaa wao umetukuka

    Sahihi mpaka pale matakwa yao yatakapofanyiwa kazi
  3. Jimena

    JamiiForums Tanzania Wadau wamimina pongezi kwa Madereva, yadaiwa Ushujaa wao umetukuka

    Bado abiria swala la stendi kuwa moja tu
  4. Jimena

    JamiiForums Tanzania Members gani wa JF unadhani wanaweza kutengeneza super couple? Wapo Compatible japo sio wapenzi

    Mi naona Mshana Jr na Faiza Foxx ikiwa watapeana couple yao itakua unyama sanaa
  5. Jimena

    JamiiForums Tanzania watu uwa wanaogopa sana wanaposikia kuhusu kuishi maisha ya mashariti

    Kwanza kwanini niishi kwa masharti??
  6. Jimena

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kumuelewa Bichwa Komwe na yule mwenzake

    Mi naona kama kuzeeka ni sifa, na sioni namna kauli hiyo inavyoweza kuniumiza
  7. Jimena

    JamiiForums Tanzania Ommy Dimpo na Gari LA kukwepa kodi: Eti TRA wabaini utofauti

    Sema ni bonge la ndinga
  8. Jimena

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa Maisha: Biashara haijawahi kuwa Rahisi – Ni Mapambano ya Kitaaluma na Kimtaa

    Mapambano ya bila kuchoka ndio yatalkayoweza kuleta matokeo chanya
  9. Jimena

    JamiiForums Tanzania watu uwa wanaogopa sana wanaposikia kuhusu kuishi maisha ya mashariti

    Mnapenda sana shortcut na hapo ndio tatizo linapoanzia
  10. Jimena

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wako au mwenza wako akikuomba simu yako ghafla unatumia mudagani hadi umpatie

    Nampa muda huo huo alioomba, na kama aliniomba wakati nafanya kitu nitampa after kumaliza nilichokuwa nafanya
  11. Jimena

    JamiiForums Tanzania Makapuku Forum

    Pole
  12. Jimena

    JamiiForums Tanzania Makapuku Forum

    Njema sana mkuu, kila nikipata wasaa wa kuingia JF lazima nifike hapa, maana ni nyumbani, kwa miaka mingi sana tumekuwa tukiupush huu uzi
  13. Jimena

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa wapi miaka yote hiyo, umefika miaka 40 ndio unaanza kupambana?

    Kuna ule msemo wa kiinglish unaosema life starts at 40 unaujua??
  14. Jimena

    JamiiForums Tanzania Je, matangazo ya waganga wa kienyeji yanapaswa kupigwa marufuku?

    Sahihi kabisa
Back
Top Bottom