Recent content by Jileka

  1. Jileka

    JamiiForums Tanzania Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    Nimeonja utamu wa forex...
  2. Jileka

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    The D9 paradox Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Jileka

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Nataka ku-root htc one A9 je, soft ware ipi. I prefer the PC method Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Jileka

    JamiiForums Tanzania Infinix phones: Mnasemaje kuhusu hizi simu wataalam?

    Vp kuhusu HTC ONE A9? Nayo ipo vzr wakuu.... Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Jileka

    JamiiForums Tanzania Shamba la ekari moja linauzwa mwanza

    Ntakuchek tuongee mkuu. Nimefurahishwa na ulivomalizia sentensi yako
  6. Jileka

    JamiiForums Tanzania Share Idea yako unayotumia kuweka akiba

    Ok, hapo nimekupata mkuu.. Bila shaka upo Mwanza kama mimi...
  7. Jileka

    JamiiForums Tanzania Share Idea yako unayotumia kuweka akiba

    Unaishi wapi.... Kazini kwako unatumia usafiri gani kufika? Napata shida kidogo kuona uhalisia ktk hoja yako mkuu, japo ni nzuri kinadharia
  8. Jileka

    JamiiForums Tanzania IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

    I've done that, bt still jamaa anasema et nimekosa
  9. Jileka

    JamiiForums Tanzania IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

    Ninaanza kupata wasi wasi kama mtoa maada analijua jibu sahihi
  10. Jileka

    JamiiForums Tanzania IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

    Ni ile ya kwenye shingo tu ndo haiko pair mkuu
  11. Jileka

    JamiiForums Tanzania IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

    Wewe peke yako ndo umepatia Pipi ya kijiti
  12. Jileka

    JamiiForums Tanzania IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

    Let kiatu = x Mtu = y Filimbi = z Then solve eqn zifuatazo 2x + 2x + 2x = 30 ..............(i) 2x + yz + yz = 20 ...............(ii) yz + 2z + 2z = 13 ...............(iii) 2x + y * z = ? ......................(iv) From (i) x = 5 ........................................(v) From...
  13. Jileka

    JamiiForums Tanzania Taja jina la movie ulioitazama zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka

    Naombeni msaada wa ku download ile movie ya Hit man's body guard na secret service mi huwa naziangalizia online tu. Afu kuna nyingine inaitwa sijui Shaw shank temple!!!
Back
Top Bottom