Recent content by Jielewe

  1. Jielewe

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Serikali yapiga marufuku watoto kukaa bweni (boarding) kuanzia darasa la nne kushuka chini

    Wakuu, hivi kuna mtu ana data za idadi ya shule za msingi za bweni Tanzania?
  2. Jielewe

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chuo Kikuu cha Mwenge Catholic University (MWECAU) na Changamoto ya Wanafunzi wa Masters na Rushwa ya fedha na ngono kwa supervisors

    Shida ya ujinga, ukiwa nao huwa haujifichi. Umezunguka kote unachafua taasisi nzima kumbe lengo umharibie mwenzako anayehama? Unapata nini kwa kumchafua mtu bila ushahidi? Unanufaika nini? Mazingira yanaonesha una chuki binafsi na huyu mwalimu anayehama. Mlikosana nini? Kwa akili yako unadhani...
  3. Jielewe

    JamiiForums Tanzania Kabla hujamlaumu mpenzi wako, jifunze mlivyofautiana kimaumbile

    Unahitaji kiasi gani cha fedha kuwa mwaminifu kwa mpenzi wako? Unahitaji elfu ngapi kumwambia unampenda?
  4. Jielewe

    JamiiForums Tanzania Kabla hujamlaumu mpenzi wako, jifunze mlivyofautiana kimaumbile

    Kula kwenyewe hela. Umeingia humu kwa sababu una bundle (hela.) Tatizo ni kuthaminisha upendo na kiasi cha pesa anazopata mtu. Kumpenda mwanamke kwa vitendo ni kuonesha unamjali; kumfanya kipaumbele chako; kumheshimu; kumlinda na mambo kama hayo yasiyoweza kulinganishwa na fedha.
  5. Jielewe

    JamiiForums Tanzania Kabla hujamlaumu mpenzi wako, jifunze mlivyofautiana kimaumbile

    Nadhani kuna tatizo la wanaume kufikiri hitaji kuu la mwanamke ni fedha. Inawezekana wanawake nao wanachangia imani kama hii, lakini ukweli wanawake wanahitaji zaidi kupendwa kuliko chochote. Ukimpenda mwanamke kwa vitendo na ukamfanya ajisikie yuko kwenye mikono salama hawezi kuweka mbele fedha.
  6. Jielewe

    JamiiForums Tanzania Ngono kabla ya ndoa: Je, ni chanzo kikuu cha kukosa uaminifu ndani ya ndoa?

    PICHA: Image Of 1Love Katika kufanya kazi ya unasihi (counselling) na wanandoa wengi wenye mitafaruku ya ndoa, nimegundua mambo kadhaa. Kwanza, vijana wengi wanaingia kwenye ndoa wakiwa na maandalizi hafifu. Wengi wanatumia muda mrefu kujifunza mitindo ya ngono wakifikiri hicho ndicho...
  7. Jielewe

    JamiiForums Tanzania Kabla hujamlaumu mpenzi wako, jifunze mlivyofautiana kimaumbile

    Asante mkuu. Kitabu kiko njiani.
  8. Jielewe

    JamiiForums Tanzania Ukitaka Kujifunza Waruhusu Watu Waone Usichokiona

    UKIFUATILIA mazungumzo ya wa-Tanzania wengi kwenye mitandao ya kijamii, unaweza kuona namna watu wanavyojinasibu kujua. Mijadala mingi imejaa ‘ujuaji’ unaofanya watu wajigambe, wadhihaki wengine, watukane na wakati mwingine, kadri ya mamlaka yao, watake kulazimisha kile wanachokiona wao ndio...
  9. Jielewe

    JamiiForums Tanzania Kabla hujamlaumu mpenzi wako, jifunze mlivyofautiana kimaumbile

    PICHA: Verastic Mwanamke, kwa asili yake, anajisikia vizuri kusema matatizo yake kwa mtu wake wa karibu anayemwamini –kama, mathalani, mume wake. Ile tu kujua kuna mwanaume yuko tayari kusikia yanayousibu moyo wake kunamfanya ajisikie salama. Kutegemeana na aina ya tatizo, mara nyingi...
  10. Jielewe

    JamiiForums Tanzania Unataka Kumjua Rafiki Atakayekusaliti? Soma hapa

    Tumezungukwa na watu wasio na tofauti sana na Yuda aliyemsaliti Bwana Yesu. Akina Yuda wapo kila mahali. Wengine ni wafanyakazi wenzetu, marafiki zetu, waumini wenzetu, majirani tunaoishi nao na wengine ni jamaa zetu wa karibu. Pengine ni muhimu kujua namna ya kuwabaini ili uchukue hatua kabla...
  11. Jielewe

    JamiiForums Tanzania Ukikosa Kazi, Wewe Ndilo Tatizo Linalotusumbua!

    Hata Unajua hata mafanikio yako kwenye ajira yanategemea zaidi vipaji, uwezo na ujuzi mwepesi (soft skils) kuliko elimu ya darasani?
  12. Jielewe

    JamiiForums Tanzania Ukikosa Kazi, Wewe Ndilo Tatizo Linalotusumbua!

    Hebu panua kidogo hoja yako...tatizo la mfumo wa elimu uliopo liko wapi?
  13. Jielewe

    JamiiForums Tanzania Ukikosa Kazi, Wewe Ndilo Tatizo Linalotusumbua!

    Kipaji hakihitaji mtu mwingine akithamini. Huhitaji mfumo wowote wala mamlaka za kukusaidia kutumia kipaji chako. Kijenge. Kitumie.
  14. Jielewe

    JamiiForums Tanzania Ukikosa Kazi, Wewe Ndilo Tatizo Linalotusumbua!

    Inakadiriwa kuwa kati ya watu 800,000 na 1,000,000 hapa nchini wanaingia kwenye soko la ajira kila mwaka. Hawa ni vijana wanaomaliza masomo yao kwa ngazi mbambali za elimu au wale wanaokosa nafasi ya kuendelea na masomo katika mfumo rasmi wa elimu. Mfumo wetu wa elimu unachuja wanafunzi kwa...
  15. Jielewe

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yanavyoweza kuchipukia kusikotarajiwa

    Dorcas, msichana wa miaka 30 anayefanya kazi kama Afisa Mikopo kwenye benki moja mjini, hakuwahi kufikiri ingetokea siku moja ‘achepuke’ kimapenzi na Johnson ambaye ni mfanyakazi mwenzake. Miaka mitatu iliyopita wakati anaanza kazi kwenye benki hiyo, Dorcas alikuwa na msimamo thabiti na...
Back
Top Bottom