Katika maongezi na makada kadhaa wa Chadema waliookoka Jijini Arusha siku iliyofuatia mlipuko wa bomu, walionyesha hofu kubwa kwamba huenda chama chao kinaandamwa na ghadhabu ya Mungu. Sababu walizitoa katika Biblia Takatifu, ambamo Petro alipofuta...
USHINDI KWA KURA ZA HURUMA (SYMPATHY VOTE)
Hisia za wengi jijini Arusha zilisikika zikiwatuhumu viongozi wa chama cha Chadema kuhusika na tukio la ulipuaji wa lile bomu, kama mkakati ambao ungeelekeza akili za wapiga kura wote kuwalaani maadui wote wa wa Chadema...
BOMU HALIKUMKUSUDIA FREEMAN MBOWE
Kama angekusudiwa Freeman Mbowe, bomu lingeelekezwa jukwaani alipokuwa, na kumteketeza yeye pamoja na waliokuwa naye mahali hapo, tena lisingengoja amalize kwanza kuhutubia na kuondoka hata hatua moja. Bomu lilielekezwa...
Ngwea hakuwa katika good terms na Clouds media, ndio sababu alipotezwa muda mrefu na hao manyang'au wa muziki. Walimdidimiza Ngwea ambaye kazi zake zinatangenezwa na P Funk na kuwanyanyua THT na producer Lamar, baada ya Ngwea kulalamika kubaniwa. Iweje wampende leo baada ya kutangulia mbele...
Mimi nimejaza nakufanikiwa vizuri isipokuwa kuna tatizo kwenye format ya index number, usitumie "/" tumia "-" halafu pia punguza zeros mfano u001/000023 unaweza andika tu u001-023
kaka,mimi naona sawa kwa kwa sababu;
1. kutokuwepo kwa mkuu wa nchi au waziri mkuu haimanishi hakuna serikali au maamuzi magumu hayafanyiki.je ikiwa nchi inataka kupinduliwa na hao hawapo jeshi haliingii?
2.jwtz walichofanya si kukamata na kutuliza ghasia, bali polisi walikuwa wanakamata na...
mimi ni mkazi wa Makongo Juu, na mbunge wangu ni Halima Mdee wa CHADEMA.
Kero kubwa ambazo mbunge anazijua ila napenda kumkumbusha ni:
-hakuna maji ya bomba,sijawahi kuona maji tangu nizaliwe.
-barabara ni mbovu,haikarabatiwi,sijui tumekosa nini, tunajiona kama watoto wa kambo!
Mambo haya naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.