Jina unalotumia ndio linalifanya uwe zuzu kwa kiwango cha juu..hukumu ya hao majaji bado imekaa kisiasa sana..
"Kama kuondolewa kwa Assad kulikiuaka katiba iweje Uteuzi wa "Kichere uwe halali"?
Tuna wanasheria waoga na wahovyo mnoo ndani ya nchi hii..CAG anayekuwa kwa vipindi na sio mfalme...
Wamelishwa matango pori na zito..report ya serikali haijatoka..ufipa na wajinga wenzao wameingia kichwa kichwa.lini report ikazungumzia ubishi wa nani alifungua mlango.
Yaani hii nchi ina wanasiasa wajinga kupita maelezo
Wewe ndio huna Akili Kama rufaa ulikua hajasikilizwa VIP spika awafukuze? Na wakienda mahakamani wataendelea kuwa wabunge tu mpaka utaratibu huu wa kisheria ukamilike.
Sema ukweli maana nakuona unamshambulia wakili bila ushahidi wowote...alikuwepo ndani analijua jeshi la polisi lilivyo...mbona unamshambulia kama una maslahi na Kamishna wa uhamiaji? Ni ndugu yako au mnatoka kijiji kimoja? Ametekwa sasa kile alichokiongea ...Umekiona...
Kutetea Ni kosa,? Wivu...
P nakuheshimu lakini kwa kuunga kwako hoja ya Yerriko nimesikitika mnoo.
Naomba kifungu chochote cha sheria kilichotungwa na bunge kinachomzuia naibu wa spika kuwa spika?
Kama hakuna huo wivu wa nini?
Pili...Kama imewezekana kwa makamu wa rais kuwa Rais na makamu kwa wakati mmoja...vipi...
Ndugu yeriko Tafsiri ya vifungu vya katiba unavitoa kichwani mwako au kuna ndugu kakuambia...naomba unijibu maswali yangu kama ifuatavyo,
1.Rais anapofariki bila kigugumizi makamu wa raisi ndio anachukua nafasi yake.kwa mujibu wa katiba ya Jamuhuri ya muungano wa Tz.swali ni Je
Makamu wa rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.