Recent content by Jicholatanzania

  1. Jicholatanzania

    JamiiForums Tanzania Mzalendo wa kweli

    Uzalendo ni hali ya mtu kuipenda, kuithamini na kujitoa kwa ajili ya nchi yake. Mzalendo wa kweli daima anaweka maslahi ya nchi mbele na ya kwake binafsi nyuma. Kwa maana hiyo hapo juu, mzalendo ni mtu yeyote mzawa na mwenye kuipenda na kujitoa mhanga na saa nyingine ikibidi kufa kwa ajili ya...
  2. Jicholatanzania

    JamiiForums Tanzania Ifahamu taasisi ya ‘Jicho la Tanzania’

    Kusikia tu hakutoshi sisi ni Asas ya kiraiya kazi yetu ni kuona na kusema kelo za wananchi na kazi za serikali
  3. Jicholatanzania

    JamiiForums Tanzania Ifahamu taasisi ya ‘Jicho la Tanzania’

    SEHEMU YA II: DIRA, DHAMIRA NA MADHUMUNI. IBARA 7: Kauli Dira Kuwaunganisha vijana, wanawake, wanaume na makundi yote ya kijamiiili kuunga mkono juhudi za serikali katika kuwaletea maendeleo wananchi wake, kwa kushiriki moja kwa moja katika miradi mbalimbali inayotekelezwa ndani ya Jamhuri ya...
  4. Jicholatanzania

    JamiiForums Tanzania Ifahamu taasisi ya ‘Jicho la Tanzania’

    SEHEMU YA III: UANACHAMA NA AINA ZA WANACHAMA IBARA 10: Uanachama Shirika lipo wazi kwa mtu yoyote ikiwa- Ni Mtanzania; Ana umri wa miaka 18 au zaidi; Ana akili timamu; Atakubaliana na malengo ya Shirika. IBARA 11: Aina za Wanachama Kutakuwa na aina tatu za wanachama katika Shirika ambazo ni-...
  5. Jicholatanzania

    JamiiForums Tanzania Ifahamu taasisi ya ‘Jicho la Tanzania’

    Ni Asasi sio chama
  6. Jicholatanzania

    JamiiForums Tanzania Ifahamu taasisi ya ‘Jicho la Tanzania’

  7. Jicholatanzania

    JamiiForums Tanzania Ifahamu taasisi ya ‘Jicho la Tanzania’

  8. Jicholatanzania

    JamiiForums Tanzania Ifahamu taasisi ya ‘Jicho la Tanzania’

  9. Jicholatanzania

    JamiiForums Tanzania Ifahamu taasisi ya ‘Jicho la Tanzania’

  10. Jicholatanzania

    JamiiForums Tanzania Jicho la Tanzania

    Kuwa na amani uko sehemu salama
  11. Jicholatanzania

    JamiiForums Tanzania Jicho la Tanzania

    Jicho la Tanzania ni Taasisi mahususi kwaajili ya watanzania wazalendo walioko ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wenye nia ya dhati na thabiti ya Kutoa elimu ya Uraia, Utawala bora, Utunzaji wa Mazingira, Ukatili wa kijinsia, Afya, Ujasiriamali, Tehama, maadili na uzalendo kwa jamii na...
Back
Top Bottom