Jicho la Tanzania

Jicho la Tanzania

Joined
Apr 10, 2023
Posts
11
Reaction score
15
JICHO%20LA%20TANZANIA%20TABORA%2020230409_120041.jpg

Jicho la Tanzania ni Taasisi mahususi kwaajili ya watanzania wazalendo walioko ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wenye nia ya dhati na thabiti ya Kutoa elimu ya Uraia, Utawala bora, Utunzaji wa Mazingira, Ukatili wa kijinsia, Afya, Ujasiriamali, Tehama, maadili na uzalendo kwa jamii na kutambua nafasi na mchango wa kila mmoja katika kujiletea maendeleo.
 
View attachment 2584885

Jicho la Tanzania ni Taasisi mahususi kwaajili ya watanzania wazalendo walioko ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wenye nia ya dhati na thabiti ya Kutoa elimu ya Uraia,Utawala bora,Utunzaji wa Madhingira,Ukatili wa kijinsia,Afya,Ujasiriamali,Tehama, maadili na uzalendo kwa jamii na kutambua nafasi na mchango wa kila mmoja katika kujiletea maendeleo…
Una kithembe cha mikono?
 
Isije ikawa ni taasisi ya yale mambo yanayovuma sasa. Jina zuri sana, tumeanza kuhofia na kutilia shaka taasisi nyingi zenye majina mazuri na shughuli njema kumbe ni mwamvuli tu chini ya zulia kuna yale mambo. Ukiweka ukatili wa kijinsia ndiyo kabisa sura ya ajenda ya yale mambo inaanza kujifunua. Uchunguzi usio rasmi tumeanza kuufanya ili kubaini taasisi zinazojishughulisha na mambo yale kwa kuzuga zinafanya shughuli za maendeleo kumbe zina fungu la fedha toka kwa wafadhili wao toka nje kufadhili mambo yale kwa siri
 
Kuwa na amani uko sehemu salama
 
Back
Top Bottom