Recent content by Jichokuu

  1. J

    Nauza smart UPS,Watts 450.Manufacturer ni America power conversions

    Kwa anaehitaji tafadhali tuwasiliane, bei 150,000.0719081205 au 0752553959
  2. J

    Ekari moja bei cheeee...!

    umesoma vizuri?Unauliza nini?Take time to read man!
  3. J

    Ekari moja bei cheeee...!

    Shamba linauzwa ekari moja liko kibaha kwa Mathias km 6 toka morogoro rd,barabara inafika bila shaka yoyote. Bei 2.5 mil nipigie kwa ufafanuzi au swali. 0752553959/0719081205
  4. J

    Unataka kipi kati hivi?

    MANAGERIAL ACCOUNTING 9/e by GARRISON| NOREEN. 2.Production/Operations Management 6/e. By William J. Stevenson. 3.'A' level ICT, By P.M.Heathcote. 4. Economics principles & practicies, texas edition. By Clayton Glencoe. 5.INTERNATIONAL FINANCIAL MARKETR,Prices and Policies 2nd/e . By...
  5. J

    Mteja wa hizi hela za kale

    nicheck kwenye namba hii fasta tulonge 0719081205
  6. J

    Shamba linaitajika morogoro road!

    Nicheck kwenye namba hii shamba liko mlandizi. 0756570793/0717307481
  7. J

    Shamba bei pooooaaa!

    Kwa chalinze sijui,ila wajua ardhi inapanda kila leo kwa hiyo fanya uamuzi mkuu,waweza zungumza na ikapoa.
  8. J

    Shamba bei pooooaaa!

    hapana mkuu hiyo ni pesa pia lkn bado uko mbali, pengine ungesema 2.9-3.2mln.Jiongeze mkuu huyu m2 kabanwa kama nilivyosema anahitaji hiyo pesa.
  9. J

    Shamba bei pooooaaa!

    Wanajamii heshima kwenu!Nimeona vema niwashirikishe, kuna jamaa yangu amebanwa na majukumu ambayo yamemlazimu kuuza kiwanja/shamba lake lenye ukubwa wa heka moja kwa sh mln 3.5 tu,liko kibaha msangani km 6 toka kwa mathias,kinafikika bila taabu. Kwa maulizo; 0719081205
  10. J

    Kuelekea digital

    Mradi huo....!
  11. J

    Nyumba inauzwa.

    Wanajamvi kuna nyumba ya vyumba 4, flemu 6 choo na bafu,ina wapangaji pia umeme full cealing board na imepakwa rangi inauzwa maeneo ya kibaha kwa mathias(msangani) juhudi,eneo hili la juhudi ni maarufu kwa biashara na ni kilometa 6 toka kwa mathias (barabara ya lami) morogoro road. bei ni...
  12. J

    Eneo linauzwa Kibaha kwa Mathias Kidenge

    Duh.............!
  13. J

    Viwanja na mashamba kibaha msangani.

    ukubwa ni 35*35 bei 6m, maeneo ya filbert bay. Kingine msangani maeneo ya juhudi heka moja shs mil 4.5. nk.
  14. J

    Viwanja na mashamba kibaha msangani.

    Nimeku-PM mkuu.
Back
Top Bottom