Recent content by Jibala

  1. J

    JamiiForums Tanzania Hivi Waafrika hatuna akili?

    Akili mgando ndio tatizo, mtu lile la jana liliompa kula ndio hilo kamaliza ,haijalishi imetoka wapi, na inajenga au inabomoa, akipata mtu wa kumla hela kwa figisu basi ndio ana akili kubwa na ndo mwisho wa kufikiri, ukiwa TRA utaonekana mbunifu sana na umeshagundua kila kitu.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Wastaafu Zanzibar wapo Kimya, wa Tanganyika mbona hawatulii walisahau nini madarakani?

    Tatizo ni dini ndio kelele nyingi hamna kingine.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Tuseme ndio umekuwa rais, na unataka kuwa fair square!, ni hatua gani utazifanya kuboost uchumi wa wananchi wa kawaida angalau hata kwa asilimia 35%

    Yani ni kujenga jela kubwa afu funga mijizi yote, huko jela acha yalime kuliko trekta mpaka akili ziwakae sawa.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Hivi south Africa mbona kunatisha Kuna dogo wa mtaani kapigwa risasi Leo huko aisee ni huzuni

    Ule unaoitwa ujanja ujanja wa ki TZ kule ukiufanya utajikuta una ujinga ujinga.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ijue siri inayolifanya Taifa la Marekani kuwa juu kimaarifa

    Tunaijua siri ya maarifa ya kuuwa watu na imekua sio siri tena, ni dhahiri ukihoji wanakuuwa. hayo ndio maarifa makubwa kichwani kwao.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Wakristo, nyamazeni kimya! Kwa nini mnalialia?

    Endelea bibie
  7. J

    JamiiForums Tanzania IMF Yaidhinisha mkopo wa Tsh 1.2 Trillion kwa Tanzania

    Tuna bahati ya kuwa navyo kiasi.
  8. J

    JamiiForums Tanzania IMF Yaidhinisha mkopo wa Tsh 1.2 Trillion kwa Tanzania

    Nawaza tu Irani haijawahi kukopeshwa imewezaje na ni sanction kwenda mbele.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Tumia mianzi bamboo kama mbadala wa nondo kwenye zege wakati wa ujenzi

    UPO MKOA GANI TUJARIBU
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kwenye Vita ya India na Pakistan nimejifunza wingi sio hoja

    Kweli Uchache wa Hamas anapigana na nusu dunia, uchache wa YE Men, mgambo tu wanaiendesha puta USA
  11. J

    JamiiForums Tanzania Afande asitukia kamera, awa mpole!

    Tanzania bila uhalifu inawekezana
Back
Top Bottom