Recent content by JGimbuya

  1. JGimbuya

    INAUZWA Vitu vya salon ya kiume vinauzwa kwa bei rahisi

    Jumla ni Tshs 1,280,000
  2. JGimbuya

    INAUZWA Vitu vya salon ya kiume vinauzwa kwa bei rahisi

    Vitu vya salon ya kiume vinauzwa viko Goba kwa moga 1.Kiti cha kunyolea 220,000 2.sink la kuoshea 200,000 3.vioo viwili kila kimoja 40,000 4.mashine za charge moja 45,000 na mashine ya waya 20,000 pamoja ya kuchongea 10,000 5.kochi 60,000 Mabechi mawili ya wateja kusubiria 100,000 6.kiti cha...
  3. JGimbuya

    Natafuta salon ya kiume ya kununua hapa Dar

    Hello ninayo Mkuu Salon ya kiume Iko Dar es salaam Goba kwa Moga inatazamana na Lami,sema sina picha zake apa ila ina kiwango kizuri changamoto imekuwa usimamizi maana mimi mwajiriwa nimekuwa kwa sasa nasafiri sana Mawasiliano yangu 0768370986 tuweze kujajenga
  4. JGimbuya

    Anahitajika kijana wa salon Dar, Tegeta

    Naitaji kijana wa Salon ya kiume, ipo Tegeta Azania. Kwa mazungumzo zaidi nicheki kwa namba 0768370986.
  5. JGimbuya

    Aptitude Test Interview Tanzania Commercial Bank (TCB) kwa nafasi ya Business Solution Officer: Big Data Analysis

    Nilifanikiwa kwenda maana Niko dar na pia eneo langu la kazi liko karibu ilikuwa balaa waliita watu 72,tulofanyaa ni kama 50 Maswali walibase kwa darasani kabisa Section 3 1.java 2.python and data analysis 3.database(unapewa scenario unaandika query) Multi choice ilikuwa 70% na maelezo 30%...
  6. JGimbuya

    Biashara ya viazi vya chipsi kutoka mikoani kuja dar

    ulitaka usafirishe toka mikoani au unauza reja reja kununua kwenye masoko APA dar??
  7. JGimbuya

    Nahitaji mkopo wa haraka Tshs. 2,000,000

    1.kampuni huwa inakopesha wafanyakazi wake lakini inakopesha kwa awamu,kuna wenzangu wamekopa adi wamalize marejesho apo ndoo nitaweza kukopa ndoo maana nilianisha naitaji mkopo kwa uharaka 2.dhamani niliaanisha kuwa nitatumia mkataba wangu kama dhamana (kutakuwa na makubalino kati...
  8. JGimbuya

    Nahitaji mkopo wa haraka Tshs. 2,000,000

    Taasisi yaa fedha zina option ya personal loan kwa waajiriwa mfano crdb na nmb ila riba zao ziko juu kidogo ndoo maana nimeonaa nijaribu kwanza kwa namna zingine nikikwama nitakuwa sins namna kuzitumia izo Nimeweka miez 7 niwe flexible hizi kampuni binafsi hazina mishahara mikubwa kiivo mku
Back
Top Bottom