Mkuu humu ndani kuna watu na ofisi zao,, by imposing yourself pamoja na kuwepa kipande kidogo cha CV wanaweza kuvutiwa nayo na kukucontact,,, izo internships unazozisema twaziona na pia tunazifanyia kazi kwa kutuma application. Siku mambo yakijipa hutokuja ona sura zetu humu tukiomba kazi. We...