Mkuu izo nafasi ulizozitaja karibu zote hupatikana kwa promotion,sidhani kama kuna mtu huwa anaajiriwa moja kwa moja kama DMO and so on,
Pia izo kada zingine zina nafasi zao kweny level hizo hizo za kimkoa,kiwilaya pia kwa kituo husika,unapendekeza zifutwe au ziweje maana hutaki kuwe na mganga...
Sasa kwanini kuwe na mkutano wa bajeti wa bunge,na ndo unatumia pesa nyingi sana kama posho kwa wabunge,alafu kuna mtu pekee anaweza kuamua matumizi atakavyo
Alafu kuna mafungu kibao wizara haiyapati mpaka mwaka wa fedha unaisha.
Hakuna haja ya kuset priorities na kuziweka kweny bajeti.
Hivi katiba mpya inakua na nini kitakachobadili haya tunayoyaona hayafai?
Hivi ile iliopendekezwa na lile lililoitwa bunge la katiba,mchakato wake ungekamilika ingekua ndo mpya?
Nawaza tu kwa uhuru....
Mimi kama mtanzania haya yananigusa saana...yaani maisha ya watanzania wenzetu yanaweza kupotea kwa manufaa ya watu wengine....hizi basi za New force mwendo wake ni mkali saana barabarani,itafutwe mbinu ya kuzidhibiti..
......hisia zako siwezi jadili.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.